Wanawake hupenda kupita walipopita wenzao

aliposema wanawake nadhani alimaanisha wote wenye tabia hizo, ila unaposema mama yako unauhamisha mjadala na kuufanya uwe personal.
Title inasema: "Wanawake wote tabia yao ni hii". Naelewa kiswahili vizuri mkuu. Halafu sijamtukana mtu.
 
Wakuu habarini!

Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kitu katika mapenzi kuhusu wanawake wote duniani.

Mwanamke yeyote huwa anapenda kutembea na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi.

Nimetembea na wanawake wengi lakini kuna kitu nimegundua kuwa mwanamke huwa anapita anapopita mwanamke mwezake.

Nilipokuwa shule nilitembea na mabinti tena marafi wote huku walifahamu kuwa kati ya rafiki yao ni mtu wangu.

Pia chuo nimeona hiyo tabia kwa kulala na wanawake wote wanaoshi chumba kimoja.

Zaidi kuna sehemu nimepanga naleta wanawake huku mother house ananiona cha ajabu eti na yeye anataka.

Nilichogundua wanawake huwa wanapenda kutembea na mwanaume anaetembea na wanawake wengi.

Kuna vitu huwa wanajiuliza sana.
Mfano...1 kwanini wanawake wengi wanampenda huyo kaka?
2.huyu kaka atakuwa na nini?ngoja nijaribu na Mimi.

Cha ajabu hela sina pia uzuri sio sana lakini ukimjaribu tu mwanamke anakubali hapo unakuta anafahamu kuwa unatembea na fulani.

WANAWAKE KWANINI HII TABIA JAMANI?HUWA MNATAKA NINI KWA WANAUME WENYE TABIA HIYO?
Kula tu ndugu yangu na mke wako mtarajiwa analiwa hivyo
 
Kafanya utafiti kwa wangapi mpk atuinclude wote kwenye hili

my dear hii kitu hata mimi nimeiona sana sio yeye pekee!

Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume malaya.

Ni exploration na observation ndogo tu.

Wala hata haihitaji kufanya intensive research itakayowahusiasha wanawake wote wa nchi hii kulitambua hili.
 
Mkuu angalia usikula hadi mama ako, maana naye Ni mwanamke na utafiti wako ulioufanya unaonyesha wanawake wote... Hofu yangu mama ako na Dada zako wasije anza nao kukuta, pumbavu ww
 
my dear hii kitu hata mimi nimeiona sana sio yeye pekee!

Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume malaya.

Ni exploration na observation ndogo tu.

Wala hata haihitaji kufanya intensive research itakayowahusiasha wanawake wote wa nchi hii kulitambua hili.

Well sio wote wanavutiwa na hiyo situation labda huyo malaya anakingine cha ziada kinachowavutia lkn si umalaya
 
Utafiti mafurushi wa Tz wanafanya.
Tanzania ya viwanda tutaisikia China tu.
 
Wakuu habarini!

Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kitu katika mapenzi kuhusu wanawake wote duniani.

Mwanamke yeyote huwa anapenda kutembea na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi.

Nimetembea na wanawake wengi lakini kuna kitu nimegundua kuwa mwanamke huwa anapita anapopita mwanamke mwezake.

Nilipokuwa shule nilitembea na mabinti tena marafi wote huku walifahamu kuwa kati ya rafiki yao ni mtu wangu.

Pia chuo nimeona hiyo tabia kwa kulala na wanawake wote wanaoshi chumba kimoja.

Zaidi kuna sehemu nimepanga naleta wanawake huku mother house ananiona cha ajabu eti na yeye anataka.

Nilichogundua wanawake huwa wanapenda kutembea na mwanaume anaetembea na wanawake wengi.

Kuna vitu huwa wanajiuliza sana.
Mfano...1 kwanini wanawake wengi wanampenda huyo kaka?
2.huyu kaka atakuwa na nini?ngoja nijaribu na Mimi.

Cha ajabu hela sina pia uzuri sio sana lakini ukimjaribu tu mwanamke anakubali hapo unakuta anafahamu kuwa unatembea na fulani.

WANAWAKE KWANINI HII TABIA JAMANI?HUWA MNATAKA NINI KWA WANAUME WENYE TABIA HIYO?
"Kila mwanamke anataka bwana mwenye demu,inamaanisha anataka bwana mwenye gemu"-Fid Q
 
Ndio, nilitaka acomfirm
Upo sahihi kwa hulka za WaTz kwani unaweza muuliza mtu "jina lako nani" naye anakuuliza " jina langu nani" au unaenda dukani unauliza "hili shati bei gani" na muuza duka "anakuuliza hilo shati bei gani ?"
 
Back
Top Bottom