Recent content by pndiba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Ok,basi calculate ya magari inakuwa tofauti
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Railway development levy inajumuishwa kwenye VAT ?
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Wakati wa kuuza nbc kama alikuwepo alikuwa teller,huyu katoka kipindi cha JK
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Nenda na spacio ,raum milango inazingua ,hata bei kuagiza na mkononi spacio iko juu,engine zote zinatumia 1nz ,angalizo kuna spacio zina engine 1zz hizo zinakula mafuta
  5. P

    JamiiForums Tanzania Familia tajiri Tanzania

    Late inamanisha marehemu ?,kama hivyo kwa GSM na baba yake Mo inakuaje
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

    Na Hiyo elf 40 inapatikana mhudumu akiondoka na mteja kabla ya bar kufungwa anaacha ten kwa meneja
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada gari zuri za kwenda Dar - Bukoba

    Kama luxury Happy nation nauli 120k,pia abood,civito,frester wako poa,muda wa safari kuanzia masaa 20
  8. P

    JamiiForums Tanzania Biashara hii kutoboa lazima

    Tegeta kuna hardware kubwa nyingi kuliko hata za mikoani,ukanda huo hadi Kerege zipo nyingi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Na Jk alivaa viatu vya brown
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mabere Nyaucho Marando yupo wapi?

    Tukio la command Tamim ,Marando alikuwa mmoja wa watu wa walioenda kumkamata na kipigo walicheza kabla ya kumuua
  11. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Inategemea ya mwaka upi,kuna model kama 4 za alphard
  12. P

    JamiiForums Tanzania BOX BODY vs SCANIA MENDE

    Pia mchina mafuta inatumia kidogo na vipuri bei ndogo ,kwenye upakiaji wa mchanga inaingia mtoni na sehemu ngumu ,mende haiwezi shughuli ngumu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    Papa Fransis miaka 30 iliyopita alikuwa papa ?
  14. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

    Baa nyingi mshahara kwa wahudumu inapatikana kwa njia hiyo
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

    Sababu ni kupata wateja ,urafiki ni karibu na city centre ilipokuwa ubungo hizi stand hazikuwepo na bus zinazopita morogoro lazima ziingie stand
Back
Top Bottom