Nina eneo langu lipo barabarani kabisa... Maeneo ya Tegeta.. Huku ndo watu wanajenga sana sasa hivi, zipo hardware uchwara ambazo hazina kila kitu.... Kama tiles ndo hakuna kabisa...
Sasa natamani kama angepatikana Mtu mwenye uwezo wa kuwekeza hapo tufanye jambo... ( KUTOBOA LAZIMA) kama upo tayari unaweza kuja kupaona...... Ni dm ndugu tuyajenge.