Recent content by PMNBuko

  1. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Online dating imejibu!!!!!Maisha yanaendelea(IMANI YENYE MATENDO)

    Mie nimeshampata mrembo tena humuhumu
  2. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Niache kumsaidia?

    Hujamfundisha hadi practical reproduction wewe? Naona kama vile umeshakula vitu ila unatafuta jinsi ya kuchomoka
  3. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

    Hao ndio walimu wa watoto wetu, ufaulu u,mashakani
  4. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

    Mimi49, umeona vituko vya bongo....nimejizuia kucheka maana niko kwenye gari la abiria
  5. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Mama anaswa akiwa amembeba kwa mbeleko mtoto wa mbuzi mgongoni huku akikatiza mitaa

    Mimi49, umeona vituko vya bongo....nimejizuia kucheka maana niko kwenye gari la abiria
  6. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Mugabe's response about his retire from office

    Leo ndo umeisikia hiyo??? Mbona ni expired news mkuu!
  7. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Heaven on earth, Heaven on earth anastahili pongezi kwa speed yake katika kupost hapa jukwaani

    Si aliachika huyo, anajiliwaza humu
  8. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Kanuni inasemaje: Waziri mkuu au Kiongozi wa Upinzani asimamapo bungeni?

    Huu ni uonevu tu, hakuna jipya hapa kwa Ndugai. Anatumikia kafiri, CCM mwajiri wake dhidi ya CDM.
  9. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Tutasikia matokeo ya mzungumzo yao
  10. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Lusinde anaongea CDM tu
  11. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    CCM hakuna kitu. Kila mbunge anayeamka anasema CDM. Hivi kama siyo Upinzani, wabunge wa CCM si ingekuwa ni kusema YES to all government bill of laws??
  12. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki MOON amshauri JK kuhudhuria Mkutano wa Kampala

    Tunahitaji usalama wa Rais wetu na si vinginevyo. Kagame na Kaguta wanahistoria mbaya katika usalama wa viongozi.
  13. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono Benard Membe 2015 kama akioteshwa kugombea urais wa Tanzania

    Hakuna kitu kama hicho, eti anaweza ku challenge CDM??
  14. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabosi huajiri masekretary wa kike wazuri!

    Siyo kweli. Mie PS wangu ni mbaya kabisa. Tena kuna rafiki zangu wenye tabia kama za huyu ndugu walishaniambia nimfukuze niajiri mrembo ila mim sioni hoja
  15. PMNBuko

    JamiiForums Tanzania Kinadada hii ni kwa ajili yenu!!!

    Upo? Mapenzi makali hayo, but i beg to differ. Siyo wote huyeyuka baada ya kuzama, inategemea msichana amemhandle vip mwanaume huyo.
Back
Top Bottom