Recent content by Pm2

  1. P

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    ccm will never do anything new, tulikuwa na matumaini makubwa kwa kikwete 2005, ona anaiacha nchi vp sahv kila mtz anaomba mabadiko yatokee.mnafikiri ccm itafanya mabadiliko gani aliyoshindwa kikwete???
  2. P

    UKAWA waanza kuweweseka

    Ccm hawana nia njema na nchi zaidi yakuhitaji madaraka!. Otherwise wasingechakachua katiba ya wananchi
  3. P

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Wasomi Wa kitanzania wanajidhalilisha kwa tafiti ambazo hata mtoto wa miaka 7 anagundua kuwa ni cooked and is not even close to reality...
  4. P

    Mabadiliko ya kweli yataletwa na mtu mchapakazi na mwenye weledi na kazi

    Mabadiliko yanaanza na mfumo wakuendeshea nchi ( KATIBA ). Je unaposema magufuli mchapakazi! Kikwete, mkapa na mawaziri wao na wabunge wote waliopita vp! Ni wavivu? Tatizo katiba inayolinda maslahi ya nchi na inayowabana viongozi ( kama rasimu Warioba ). Je magufuli anakubali katiba ya wananchi...
  5. P

    Nani anamwelewa mgombea mwenza wa UKAWA Haji Duni?

    Nasikia akisema mil 50 kwa kila kijiji, hivi Yale mamilioni ya kikwete yalileta maendeleo gani wakati ule?
  6. P

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Kashfa hazifanyikazi, MTU hachaguliwi kwa utakatifu wakujifanya, but because of he is abilities,. Tumechoka na ccm toka Uhuru! Tuangalie hata mfano kenya. Hatuweze kuendea kwa huu Mfuko wa chama dola
  7. P

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Kwa wanasiofahamu historia ya Dr. Slaa alivyo jiunga na chadema nikuwa haitofautiani na Lowasa kujiunga na chadema. Slaa naye ilikatwa na ccm 1995 kuwania ubunge jimbo la karatu ingawa ilikuwa anakubalika sana then akahamia chadema na kushinda ktk uchaguzi
  8. P

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa,,,,,,,,,
  9. P

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Slaa siyo MTU wakupenda madaraka hivyo, hizo nipropaganga tu za waccm
  10. P

    Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

    Kwakweli, cwt wezi kweli tena kuanzia wilayani hadi taifa. Kila mwezi inatakiwa warudishe asilimia kadhaa ya mchango wakila mwanachama kituoni kwake bt hawarudishi. Chama hakina msimamo wamebakia eti "shemeji unatuachaje!" Hawaoni hata mfano Wa wenzao Wa kenya
  11. P

    David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    Tz tutabakia the fourth developing country kwa style hii ya uongozi
  12. P

    GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    Nape, hizo siasa tu! Tusi danganyane. Atakayepishwa ataungwa mkono na kila mwana ccm.
  13. P

    Membe: Msiponichagua mimi mchagueni Pinda

    Mbeya alimunga mkono Mwandosya katavi Pinda, mwingine akifika atamunga mkono mtu mwinge mi navyoona nia ya huyu jamaa nikuteneza mazingira ili atakayeshinda amkumbuke kwenye ufalme wake
  14. P

    I am in love with my brother

    Huyo Dada anaibilisi kichwani,
Back
Top Bottom