Recent content by playerbooty

  1. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

    Kujipendekeza kubaya sana. Suala linaloongelewa ni mhimu kwenye maisha ya watumishi wa umma na sector zingne. Utateteaje kitu kima hiki kimahaba na kulinganisha na vyama siasa? Utafanyaje kazi miaka minne bila nyonngeza mshahara na maisha yazidi kupanda?
  2. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Aisee kama nchi zote zilizoendelea zingekuwa zinafanya hiv sijui kama zingekuwa level hiyo waliyokuwa nayo.
  3. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Ila je lengo la wananchi lilikuwa hivyo?
  4. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Ni ajabu sana comment ya namna hii. Inahitaji busara kwa kweli.
  5. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

    Upo sahihi kabsa kwa ufafanuzi huu
  6. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Selection kidato cha kwanza 2017

    Je siwezi kupata softcopy ya kahama mji?
  7. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Selection kidato cha kwanza 2017

    Kwa kweli sijui technology ndio I inakuwa kweli hivi?
  8. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi Kidato cha Kwanza Mkoa wa Shinyanga-Halmashauri ya Kahama Mjini

    Wadau naombeni Msaada wa kupata Orodha ya wanafunzi Kidato cha Kwanza Mkoa wa Shinyanga-Halmashauri ya Kahama Mjini 2018, nimetafuta sana bila mafanikio.
  9. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

    Weka basi ya Shinyanga
  10. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

    Jamani wekeni basi matokeo ya Shinyanga
  11. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Walio chaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018

    HII MAANA YAKE NINI? MIKOA MINGINE HAINA ICTs KIASI KWAMBA WAMESHINDWA KUWEKA HATA KWENYE WEBSITE ZA HALMASHAURI AU MIKOA?
  12. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Walio chaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018

    JAMANI TUPIENI BASI YA MKOA WA SHINYANGA
  13. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Walio chaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018

    Shinyanga yanahitajika mkuu
  14. playerbooty

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018,

    Naweza kupata ya Shinyanga mkuu
Back
Top Bottom