playerbooty
Member
- Jul 11, 2015
- 43
- 16
Weka basi ya Shinyanga
Naombeni ya mkoa was songweOk, nimefanikiwa kuifungua. Fungueni kiambatanisho hiki kwaajiri ya waliochaguliwa Dar es Salaam
Mkuu ya waliochaguliwa morogoro vipi haunaOk, nimefanikiwa kuifungua. Fungueni kiambatanisho hiki kwaajiri ya waliochaguliwa Dar es Salaam
Zimetoka kwani mkuu?Ja,ani naombeni mwenye selection za form one mwaka huu yaani kwajili ya kujiunga na kidato cha kwanza mwakani
Yeah wametangazaZimetoka kwani mkuu?