Halmashauri ya Manispaa ya Songea wametoa tishio la kunyanganya vibanda kwa wafanyabiashara wa soko kuu watakaoendelea kufunga biashara zao....Wametoa muda wa masaa 24 maduka ya soko kuu yawe yamefunguliwa..Sasa kuna sheria inayoweza kumlazimisha mfanyabiashara afungue duka lake what if kama...
Madj wa kenya wapo vizuri sana huchoki kusikiliza mixing zao na wapo very updated sana na skillz za kutosha...Nilianza kuwafahamu Kipindi kile Star Tv wanarusha kipindi cha Supremacy sound ambacho kilikua kinapiga nyimbo za Reggae na Riddims na Dj alikuwa ni Simple simon Mara ya kwanza nilidhani...
Ishu sio simu kutengenezwa hapa nchini ila ni kulinda soko la ndani...Kumbuka hizo simu unazonunua mtandaoni kuna wafanyabiashara kariakoo wamekodi fremu,wamekata tin ya biashara na wanalipa leseni za manispaa wanauza hizo simu ambazo sisi tunakimbilia kuzinunua nje ya nchi...Hivo kama mimi na...
Sawa seller wanatofautiana bei lakin sio kwa margin kubwa lets say Umenunua iphone 12 lakin invoice yako ikaandikwa $55 unadhan afisa wa TRA atakuamin na akicheki bei halisi za iphone 12 unakuta zina range kati ya $900 hadi $1200...atleast utumie sababu ya kununua kwa discount kwenye events kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.