Recent content by Playboy

  1. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Inawaka kabisa mpakaa kwenye wallpaper ya screen ,ukiiwasha haiombi.
  2. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Wakuu bado nasubiri sijafanikiwa nawategemea
  3. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Ni tecno spark 2 imefungwa na password number
  4. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Kiongozi ishu ni siriaz sana wala sio kuwazidi kete wenzangu,kunaa watu anawadai na wengine wanaomdai taarifa alikuwa akiweka kwenye email yake naa baadhi ya mikataba ndio tuna shida nayo hasa
  5. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Imesha toka go ahead Na kikao chaa mirathi kimeshakaa na nitakuwa na ndugu zangu akiwepo bi mkubwa kama itafanikiwa kufunguliwa,so sifanyi mimi kama mimi pia ni msaada kwa bi mkubwa wetu kuhusu baaathi ya mambo.
  6. Playboy

    Kufungua android phone bila kuloose data

    Habarini wadau napenda kujua njia youote ile nayoweza kuifungua simu ya android without loosing data yaani ikifunguka isifute chochote msaada tafadhaali ni muhimu[emoji120]simu ilikuwa ya mzee wetu na amefariki sasa kuna taarifa muhimu huwa alikuwa akihifadhi kwenye simu hiyo naombeni msaada .
  7. Playboy

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Walitakiwa kunyongwa kabisa watu wa dizaini hii si watu rafiki kabisa na taifa letu
  8. Playboy

    Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    Kwani wewe unadhani kigogo ana madhara kwa taifa au ana faida
  9. Playboy

    Kazi ya Udereva Dodoma

    Mimi ni dereva na leseni yangu ndio kama hiyo inavyoonekana , nafanya kazi mazingira yoyote mkoa wowote, ila ikiwa dodoma itapendeza zaidi kwa mawaziliano nicheki DM
  10. Playboy

    Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Wale waliokuwa washindi wa nne wengine kura sita ilitokea muujiza au[emoji848]
  11. Playboy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usitufokeee
  12. Playboy

    Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Mleta uzi kaileta kizandiki alianza vizuri ila akamalizia kimajungu na kizandiki
  13. Playboy

    Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Waafrika tunashida sana , yaani unachukia mtu kuishi maisha yake kwani alishawai kuwaomba nauli that's why hatuendelei badala ya kufanya yako unafuatilia life style ya mtu, huo ndio uwaki
  14. Playboy

    Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

    Muangalie kwenye series ya #power
Back
Top Bottom