Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Habarini wadau napenda kujua njia youote ile nayoweza kuifungua simu ya android without loosing data yaani ikifunguka isifute chochote msaada tafadhaali ni muhimu[emoji120]simu ilikuwa ya mzee wetu na amefariki sasa kuna taarifa muhimu huwa alikuwa akihifadhi kwenye simu hiyo naombeni msaada .