Recent content by Platnum member

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

    Fanya kazi
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara baada ya kwenda chuo, mawasiliano yamekuwa ya shida

    Mambo mengine ni kujiendekeza tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Vyama vya Upinzani

    Kuna msemo unasema "Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Mkuu kwa muda nilikuwa nataka kuandika mada kama hii lakini umeniandikia kabisa TATIZO SIO CCM WALA VIONGOZI TATIZO NI WATANZANIA AMBAO NADIRIKI KUWAITA WAPUMBAVU NAAM WATANZANIA NI WAPUMBAVU
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    Aisee
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Hapa inaonekana walikuwa wanamkimbiza akikaa kwenye target wanafyatua risasi anakata kona wanamkosa Hivyohivyo hadi risas hizo
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano

    Mrembo upo??
  8. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Wakuu hivi hamna group chat kwa pm aisee
  9. P

    JamiiForums Tanzania Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Mimi binafsi huwa naendesha kale katairi nikiwa nimesimama yaani sio kwa kuweka magoti sakafuni Sasa watu huwa wananiangalia wanasema kwani hilo tumbo lako lina misuli ya chuma?? Hahahahahaha mazoezi raha aisee
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

    Ni kweli wanaweza kuwa na makosa ya hapa na pale na kibaya zaidi ni pale hayo makosa yanapojirudia Kwa upande wa wateja nako kunakuwa na stress za hapa na pale kitu kinachoawafanya kijiona kama wanadharauliwa Ombi langu kila mmoja kwa upande wake anapaswa kujitathmini kwani upya ili kuona...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

    Hii ndio hali halisi ya mawazo ya vijana wa kitanzania Ngono tena Ngono zembe
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tozo ya uzalendo iendelee tu, tujikaze tujenge nchi

    😂😂😂😂😂😂😂😂
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa

    Nidhamu ya pesa asikwambie mtu huwezi kujuta kama ukiifuata ipasavyo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Nadhani wangeagiza zile za urusi,china,cuba au iran Hao wengine hasa wa magharibi heheeheh
Back
Top Bottom