Recent content by plasido

  1. P

    Msaada kwa bei ya Mashine ya kukoboa na husaga nafaka

    Naombeni kujua Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka inauzwa bei gani !!
  2. P

    Tatizo la simu kucharge muda mrefu.

    Badilisha USB cable
  3. P

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mimi nahitaji flickmultmetet no being gani.
  4. P

    John Heche: Tumetoka gerezani kumsalimia Lema, yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja...

    Naamini hawezi sena kama amekoma .ila kwa ninaye mwona kila siku na ninavyo jua hali ya hapa gereza Arusha palivyo kweli hawezi rudia.
  5. P

    Msaada kwa anae jua bei ya injini ya Suzuki Carry pamoja na gearbox yake kwa Dar

    Mimi nipo Arusha ila ninashida ya kupata hii kitu kwa dar es salaam ni bei gani.
  6. P

    Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

    Sasa mtasikia kale kakikundi kanakojiita tanzagiza katakavyo toa ushuzi wa wa juu ya haya maamuzi.
  7. P

    Pakiti ya tambi yapanda maradufu kutoka 1000 mpaka 2000

    Unapiga mahesabu ya kushuka kiuchumi kupitia tambi!!!!!kweli kazi ipo.
  8. P

    Ndugu AUGUSTINO MTITU aliyejeruhiwa kwa kuchomwa na mkuki jana anaendelea vizuri na matibabu

    Mijitu mingine mijinga kweli ivi hapa kuna topic ya sa8 au hizi vurugu za wakulima.
  9. P

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara Arusha, atatua kero na kugawa pikipiki

    Kuna mijitu kwao kilakitu in kupinga hata sielewi selikali ikufanyie nini ulizike.
  10. P

    Ndege ya ATCL(Air Tanzania), imetua Arusha airport imeshindwa kugeuka

    Kaka pdidyile ya Ethiopia ilivutwa ili igeuke kwa Uwanja huu aiwezekani ile ndege kutua wala kugeuka.
  11. P

    Nauza kiwanja Dar es salaam

    Nina mil2.5 nalipa mara 2
  12. P

    Nahitaji body Suzuki carry

    Kwa yeyote mwenye body ya Suzuki carry tuonane
  13. P

    Serikali inatumia fedha nyingi kupambana na wapinzani kisha inaomba kuchangiwa madawati na maafa?

    Hivi mtaacha lini.yaani kilakitu mnaingiza siasa ivi mpaka sasaivi hizo siasa zimewasaidia nini ,huu ni wakati wa kujua nijinsi gani hili tatizo litakabiliwa vipi nyinyi mnaingiza maswala ya siasa.
Back
Top Bottom