Kaka naomba pia namba zake nahitaj engine ya alteza tuNakuinbox namba ya mtu wasiliana nae anaweza kukusaidia anafanya biashara ya spea za magari
Engine ya Carry ( Carburetor ) huwezi kupata chini ya 1,350,000 iwapo haijafunguliwa kabisa.Kuna hizi Engine za Carry naambiwa zinaitwa za Injection (naomba kusahihishwa) hizo bei zake zipo chini hata 1.2m waweza kupataInjini ya kirikuu haizid laki 1