Recent content by piusthadei

  1. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Vurugu Zinazoendelea Mbeya, Mabomu yatawala sababu ni kugoma kununua TRA register's

    cha kushangaza zaidi ni kwamba hawa tra wanaangalia tu mauzo ya mfanyabiashara badala ya kuangalia faida yake halaf waangalie garama za uendeshaji ndipo waone kama kuna haja ya mashine au la.hv wanavyotaka kuwapelekesha ni kama kutafuta vurugu nchi nzima kwa kuwa watu wamechoka kuonewa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia amesoma wapi Uandishi wa habari?

    Kweli mkuu huyu bwana anaonekana kujipendekeza sn kwa wakubwa ili apate cheo.mm naona wana kondoa walichagua janga.
  3. P

    JamiiForums Tanzania NAPE,aridhishwa na ukusanyaji maoni baraza za katiba

    Na pia katiba haitengenezwi kwa wingi wa maoni ya kukariri.points ndio kitu cha muhimu kitakachozingatiwa.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    Halaf kova anastahili kushtakiwa kbs kwa kuudanganya uma wa Watanzania kuwa mtuhumiwa kakamatwa kanisan akitubu kwa kumteka ulimboka.kwann tunakuwa na viongozi waongo kiasi hk?hv hawamwogopi hata Mungu.hili ni janga.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    Wale wameachiwa na jaji sio DPP wako anayekubali kudhalilisha taaluma yake kwa kesi za kutunga.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Diwani CHADEMA ampongeza mbunge wa CCM

    Ni jambo la busara sana kwa viongoz kushirikiana hivyo kuwaletea wananchi maendeleo.safi sana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mbiu imelia,CHADEMA kuwasha moto tarehe 21.07.2013 Dar

    Ni lini uliziona hizo vurugu?au umekosa la kuchangia?acha ubendera.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abass Tarimba...........

    Na nyongeza.je hyo nafasi haina muda wa kuongoza?
  9. P

    JamiiForums Tanzania CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

    Tarizo lililopo ni hawa ccm kutuona ss watz hamnazo.hawa dawa yao inachemka.
  10. P

    JamiiForums Tanzania CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

    Unajua Nape anafikiri Wtz wa sasa ni wajinga wasiojua kupambanua mabo.huyu jamaa ananikera sana.wkt wanapitisha kule bungeni kwann hakutoa ushauri kwa wabunge wa ccm wasipitishe?iweje leo baada ya kuona wananchi wanalalamika ndipo na yy ajifanye kuongea unazi?huyu kijana akieeka sijui...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

    Tulianza na Mungu'tutaendelea na Mungu'na Tutamaliza na Mungu.ipo ck kitaeleweka tu.makamanda wasiogope Mungu yuko upande wetu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

    Iyo poa
Back
Top Bottom