Sidhani kama kakosea. Kama Mbunge anajitahidi kushiriki katika kutatua matatizo ya wapiga kura wake kwa nini asipongezwe? Huo ndio ukomavu wa demokrasia.
...aaaah mkuu usione aibu bhana,sisi hatuji kuomba buku 7 zenu. bosi wenu mwigulu kila siku anakuja na ofa za hatari kutaka kutuhonga,hadi ukuu wa wilaya,milioni hamsini,magari na tumempa cha mbavu sembuse buku saba. mi ujue nakushangaa wamekukamata kwa buku saba tuuu...!!!??? njaa mbaya...??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.