Tarimba Abass Tarimba...........

Tarimba Abass Tarimba...........

Ni tarimba huyu nayemfahamu mimi au ni mwingine tofauti na huyu wa mkwajuni na manyanya kwa ujumla
 
Mkuu The Boss, this Tarimba guy is a tough and smart cookie. In addition, politically, he's well connected and a CCM insider. He's very well respected within the high profile Dar business community. It's also fair to say that he's among the untouchable fellas in Tanzania

Untouchable is the word i guess ...
 
Mkuu The Boss, this Tarimba guy is a tough and smart cookie. In addition, politically, he's well connected and a CCM insider. He's very well respected within the high profile Dar business community. It's also fair to say that he's among the untouchable fellas in Tanzania

Mkuu kiinglishi ulichotumiaga hapa kinanikumbushaga kiinglishi cha novo za James Hadley Chase enzi hizooooooo
 
Mkuu hicho ni cheo cha kuajiriwa, Mkurugenzi Mtendaji
Ilitangazwa nafasi akaomba, akasailiwa na akaajiliwa

The question is......udiwani na kazzi full time


bado swali la aliaajiriwa lini halijajibiwa
na Rais gani alimteua?
 
Ni mteule wa rais kama walivyo wateule wengine na infact jamaa ana shule ya kutosha sana ...kuhusu urais yanga na udiwani kinondoni sidhani kama hiyo ni hoja maana sioni msing wake.
Bodi hii inasimamia michezo yote ya kubahatisha kuanzia inayoendeshwa na makasino,makampuni ya simu,magazeti nk..(yaani kila aina ya bahati nasibu halali unayoijua wewe)

Shule ya kutosha ndio ipi?
Acha kukurupuka,
Huyu jamaa alikuwa hana elimu yoyote,amemaliza degree mwaka juzi pale tumaini tena wakati huo alikuwa na cheo hiki hiki!that means aliteuliwa akiwa hana degree

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kahawa na kashata vinahusika hapa! Macho kodo!!
The boss usitafutie watu pressure unadhani kujadiliwa JF mchezo!!
 
Boss kawaulize CCM wenzio. Unashangaa nini hupata majibu kwani tatizo ni lipi? Si ndivyo mnavyo endesha Nchi kuishi kwa patronage?
 
...Hivi wakati fulani huko nyuma si alikuwa ndio mume wa yule muandishi wa habari maarufu wa kitambo wa Daily/Sunday News, Halima Shariff?
 
Hii nchi kama haina taratibu kwenye mambo mengine...ndio maana ujanja ujanja unakuwa mwiiingi
 
kuna mtu anaweza kuniambia huyu mtu aliteuliwa lini kuwa

mwenyekiti wa bodi ya bahati nasibu?

Aliteuliwa na nani?

Kabla ya hapo nani alikuwa kwenye hiko cheo?

Utaratibu gani unatakiwa wa nafasi hiyo?

Je nafssi zake za urais yanga hapo zamani
au udiwani kinondoni kisheria zinaingiaje na cheo chake?

Na je hiyo bodi inafanya shughuli zipi haswaa?

Iko chini ya wizara gani?
very good
 
Back
Top Bottom