Recent content by pius1021

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Jaman anacho kusema huyu jamaa nikwelii kabisa nimekaa Kenya na nimeona watu wanavo lia nahizo ishu za mbegu mpya za Sungura. Mbegu mpya wameuziwa kwa bei ya juu sana 3500 ya Kenya nawalio wauzia hio bleed walidai wao ndo wanunuz wakuu lakin walejaamaa mpaka leo ninavo kwambia wamepotea na watu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Umeona bei gan mpaka kuifikisha hapa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Spear zipo kaka kwa wahindi Kariakoo kibao
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Nikiwa Uganda chuon kuna rafikiangu alikua bongo nakunijulisha kua kajiunga na hio Bitcoin na kapata mahela kibao, basi kwakua napenda pesa nakwakua nilikua na mwamin sana rafiangu nikamtumia kama laki 3 na nus ili aniunge kutokana na maelezo yake. Kweli baada ya kutuma ile pesa jamaa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Wezi wakubwa nyie nawatafuta nyie matapel kama nin yan
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Utapelii huu nimesha umizwa mwenzenu hata msijaribu najuta na Bitcoin hakya Mungu utapel mtupu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land cruiser vx

    Yan kwa uongo huu ety km 40091 hata huez pata mjinga hata mmoja. Iv umeona wote humu mbulula sio? Jiongeze kialili ili ujue kula na vipo sio wiz wa kiboya namna hii
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

    Achaga uboya kama huna majibu siukae kimya wenye akili wajib usijifanye mjuaji wakat mavi tuuu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Asante sanaaa mkuu Mwenyez Mungu ukujalii maisha marefuu na yenye baraka telee najifunza mengi kupitia busara zako na upendo wako kwetu. Lazima nifike niondoke tz safarii hii naenda ku Re new passport yangu next week
  11. P

    JamiiForums Tanzania Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Za Nairobi hovyo tuu
  12. P

    JamiiForums Tanzania TFDA, MSD na MoH safi sana

    Huyu mpuuzii tuu, jiinga sana wew
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

    Yan sijutii kuimiliki hii chombo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

    Hahhahahaaa katika watu wew umegusa mtima wangu. Volvo XC90 Chombo bora
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta jambo moja tu la maana ambalo serikali awamu ya tano wamefanya

    Tena zipo kibao
Back
Top Bottom