msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Waugwana sikuwahi jua hapo kabla kama Makampuni makubwa ya uzalishaji wa dawa za binadamu wanajivunia AUTHORITY APPROVAL ya nchi yangu.... makampuni makubwa kama MILAN LABORATORIES (INDIA) PVT LTD na SK Logistics kutaja machache yanajivunia sana nembo yetu ya TFDA. Najua tunaweza kuwa na udhaifu katika nyanja zingine lakini kuna mambo mengi tuko poa sana kama taifa.
Taasis kubwa kabisa kama Epower School of Health pia wametumia Mfumo wa uthibiti na ukaguzi wa dawa za binadamu kama mfano mzuri kabisa inayopaswa kuigwa na nchi zingine. Kwenye training hii ambayo nilihudhuria Tanzania imekua kielelezo bora kabisa ikifuatiwa na nchi moja jirani hapa.
Tulipopata kutembelea viwanda hivi vyenye tecknologia ya juu kabisa katika pharmaceutical industries kujulikana kama natoka Tanzania ilikua ni fahari kubwa sana, maana wengi walitaka kujua sisi tumewezaje kufika hapa tulipo. labda niseme kuwa viwanda hivi ni vile vyenye WHO pere-qualifation certification , pamoja na qualifications zingine kama GMP.
Na apo nilipogundua pia viwanda hivi pia hu supply dawa pia UK hasa kwenye public sector
Kilichobaki sasa tutumie jina hili zuri kujenga viwanda vyetu , hatutasumbuka sana kwenye Qualifications maana jiona tunalo
ni hayo tu