Recent content by pius maige

  1. pius maige

    Huyu Mkenya anaeendesha gari la $2.7 Million ni nani?

    nauza watermelon..npo mwanza tanzania. ni kubwa,nzuri na tamu. cheki me through +255655273033 piusvallentine@gmail.com
  2. pius maige

    Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

    saf bt..ungelipa ya wawili kweupee..afu ukaongeza na story.
  3. pius maige

    Wanawake kupelekwa getto sio dili, komaa na Lodge

    lara 1..mwandishi mzur sana..huwa naburudika,kama nimevurugwa nakua poa. nataman nkuone. fungua page ya biashara asee.
  4. pius maige

    Orodha ya asasi za Tanzania inapatikana

    tupia humu mkuu..naona hazikufika zote..piusvallentine@gmail.com
  5. pius maige

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    Ethics za kazi yako zinakwambia nini? hakuna kingine zaid ya hicho.
  6. pius maige

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    Mkuu naomba audio na soft copy ya vitabu vyote vya kiyosaki pamoja na vya business ulivyonavyo
  7. pius maige

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    chek youtube hydroponic by petet chege./fatilia mkulima mbunifu utapata mengi
  8. pius maige

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    nusu ya watanzania tungekua hivi/kutumia electronics zetu kutafta maarifa haya..hakika tungekua mbali?
  9. pius maige

    Drip agriculture

    Lengo kuu ni drip irrigation..bt eneo hakuna maji..ndio lengo la kuomba msaada huu..je kuchimba kisima kutakidhi mahitaji ya drip irrigation mwaka mzima? Wataalam wa mambo haya please
  10. pius maige

    Drip agriculture

    mawasiliano mkuu
  11. pius maige

    Drip agriculture

    Kahama shinyanga mkuu
  12. pius maige

    Drip agriculture

    Habar wana jf. Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari. Nmekutana na hii Drip agriculture. Gharama zake kwa heka moja ni zipi? Mahitaji yake ni yapi? Shamba lipo eneo kavu je kuna utaalam wa kisima waweza...
  13. pius maige

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Ni ngumu kuanzisha biashara ukaiacha ijiendeshe. Jua kwamba unaemwajil nae anandoto za utajir kama zako, tafuta mda hata wa wiki, either mkeo au ndugu yako afanye evaluation hapo. But safi, quantity & quality ya chakula na customer care ni baadhi ya uchawi wa biashara hiyo.
  14. pius maige

    Nataka kununua TV Flat Sceen 32

    Samsung 32 inch,5 series / sony 32 yenye screen mirroring,full HD ya 2014 Shingap kwa zbr
  15. pius maige

    Umoja wa vyuo vikuu Mwanza watangaza kumuunga mkono Lowasa

    Naam..tupo huku hakuna kitu hicho...labda umoja wa WAUNGA BUNDLE VYUONI.
Back
Top Bottom