Recent content by Pitch

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa wa mambo yafuatayo

    Ila wake xa watu wawe makini mno kwan cku hizi michepuko inashika waume za watu na madawa . .Mwanza IPO sana...ila mwisho no matter what mke ni mke tu...istoshe ewe uliezoea tembea na waume za watu..utatumika saaana cku ukijashutuka ushagonga thirty na kitu..and a man ll still take his wife...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

    Hatimaye...baada ya maswaibu mengi..mastaa wengi wanaishia kuzalishwa tu hii kitu wanaiskiaga tu..
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maskini Rich Mavoko....

  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

    Na nyie mnavyotoka nje ya ndoa hovyo?mkuki kwa nguruwe....malizia mwenyewa..
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

    Wao!kumbe..uko vyedi basi
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

    Hivi kwa mfano ukamzalia unafikiri mkewake akija kujua huyo mwanaume ataendelea kW upande wako?lyk u said a sidechick ll always b a sidechick
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

    Trust me long distance relationship haiwork...na hivi watu ckuhizi kuchepuka kumekuwa kitu cha kawaida sana...inasikitisha sana.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumuacha MTU Anaekupenda Kweli...

    Amin nakuambia hata mpewe nn hamwez kuridhika...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

    Amin nawaambia mambo yamebadilika sana Eti Siku hizi michepuko inaraha kuliko walio olewa... .
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Maisha ya hm baada ya kumaliza chuo ni stress tu...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliooa wanawake darasa la 7 na kidato cha 4 wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa wasomi

    Upendo wa kweli...misingi ya kiroho ya ukweli ndo kila kitu.. Mengine tutaumia na kuangaika sana.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Kuna tumaini gani kwa ajili ya wafu? Yoh 5:28,29 matendo 24:15 "kutakuwa na ufufuo wa waadilifu na wasio waadilifu"majibu yote kutuhusu yapatikana kwenye biblia..Yehova anatueleza.. .
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    "Roho yake hutoka, naye hurudi ardhini; siku hiyohiyo mawazo yake hupotea. Zaburi 146:4 "Walio hai wanajua kwamba watakufa, lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe...jambo lolote unalofanya kwa mkono wako,lifanye kwa nguvu zako zote, kwa sababu hakuna kazi wala mipango wala ujuzi wala...
Back
Top Bottom