Kumuacha MTU Anaekupenda Kweli...

Kumuacha MTU Anaekupenda Kweli...

Katika mahusiano kuna vioja vingi lakini sometimes Wanaume huwa tunafake Sana Love ili mradi Upate kuridhisha mwili wako... unatumia kila gharama,Kilaa Mbinuu,Kila Uongoo kumrubuni mtoto wa watu kumbe umetamani tu Shape yake....Chura ulilee usepee! Kimbembe kinakuja ushamfunua na Binti wa watu Kazama kweli aisee unajitahdi Kufake na kupretend unampenda kumbe Humfeel hata kidogooo yani Sasa usiombe adake Mimba weee.....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Iliwahi nitokea aisee Japo nlilimuacha lakini Hadi Kesho najihukumu maana alinipenda kweli..!

Je ushawahi kupretend kwenye mapenzi...mwisho wa siku ilikuwaje???View attachment 882093
Malizia hiyo mimba mlivoitoa
 
Wanawake wakipenda wanapenda kweli. Hili nimelishuhudia.
Waongo sana hao
Nimewahi kudanganywa napendwa mpaka akafunguka mwenyewe na alikua BK cha ajabu badae akawa na jamaa mwingine in less than 2 years
Huku akijidai kunipenda
 
Wanawake wanapenda sana ila wanakuaga na vijitabia fulan hv ambavyo unakuta sisi wanaume tunaona kabisa kua hafai kua mke japo ana upendo wa kweli...Mfano mpenz wangu niliemuacha juzkat yy alikua na mapenz ya dhati kabisaa tatzo lake ni tabia ya kuniharakisha kumuoa na kunipigia simu kila saa...ayo mambo nilikua nachukia sna na nilijitahid kumueleza lakini akashindwa kuyazuia
Hukuwa unapenda anavyopiga simu kila saa.... Kumbe hii ni sababu pia ya kuachika....😂😂
 
Wanawake wanapenda sana ila wanakuaga na vijitabia fulan hv ambavyo unakuta sisi wanaume tunaona kabisa kua hafai kua mke japo ana upendo wa kweli...Mfano mpenz wangu niliemuacha juzkat yy alikua na mapenz ya dhati kabisaa tatzo lake ni tabia ya kuniharakisha kumuoa na kunipigia simu kila saa...ayo mambo nilikua nachukia sna na nilijitahid kumueleza lakini akashindwa kuyazuia
Wanaume wengi wanachukizwa na hiyo tabia
 
Back
Top Bottom