Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

Mmeyata nyie wanaume
Badilikeni
Be the change you need or want,simple
Kumbuka to every action there is an equal and opposite reaction,newtons third law of motion.
Hivi kwa mfano ukamzalia unafikiri mkewake akija kujua huyo mwanaume ataendelea kW upande wako?lyk u said a sidechick ll always b a sidechick
 
Nimekupenda bure th e iron butterfly, pamoja na upuuzi mmefanya lkn kwa msimamo huo unaonekana kuwa mwanamke wa shoka, a real iron lady, bila shaka wenzako watajifunza kitu kwako.

Vv
 
Whatever
Sijataka kuzaa na simzalii coz hajaniingia moyon
Nayempenda akitaka nitazaa
Isitoshe hata Mali walizochuma asilimia 50 it's my ideas na plans
So jamaa anataka nimzalie asinipoteze, bt I don't like him
Hivooo tu yani
Sitoi mbegu yangu kizembe
Apambane na mkewe
Hivi kwa mfano ukamzalia unafikiri mkewake akija kujua huyo mwanaume ataendelea kW upande wako?lyk u said a sidechick ll always b a sidechick
 
Haha..niliacha kuhonga hela ndefu nilipoponea kutegeshewa mimba mara 5. Ukiwa unatoa pesa ndogo mademu wanaogopa mimba yako kama ukoma, sasa wajue kazi na vipato vyako hapo ndipo unapojua wanaume wengine hawakuoa kwa kupenda bali mitego tu.
Haha
 
Yap yap hunizalishi kizembe
Jamaa anafoc nizae but am not ready
Anataka watoto wazuri
Anakuwa kama masanja mkandamizaj unajisifia mke mzuri waja wazaa kitu kimefanana na baba
Karma,usitukane mamba kabla hujavuka mto
Nimekupenda bure th e iron butterfly, pamoja na upuuzi mmefanya lkn kwa msimamo huo unaonekana kuwa mwanamke wa shoka, a real iron lady, bila shaka wenzako watajifunza kitu kwako.

Vv
 
Back
Top Bottom