Kuna kitu inaonekana wana chadema wengi hatujakielewa kutoka kwenye kauli aliyoitoa lwakatare na Joshua nassary kule Arusha nakauli zao zimepelekea wana chadema wengi kuwamlaumu na kumpiga vijembe haswa pasi na kujua au kuwaza kwanini amefanya hivyo.
Nilazima tujufunze mbinu za kuishi na hasimu...
Naomba ufafanuzi
Ni nini madhara ya demokrasia kubakwa huku wananchi wakiangalia bila kufanya jambo lolote kutetea hakiyao?
Inatuma ujumbe gani kwa mataifa wahisani pale demokrasia inapobakwa na wananchi kushindwa kuitetea?
Wana ukawa yuko wapi mwanasheria Mabere Nyaucho Marandu,mara ya mwisho alikuwa mgonjwa na alikuwa amelazwa. Ni muda sasa habari zake hazijasikika. Kulikoni?
Ni wakati wa kujiuliza je?
Tutaendeleza utamaduni ule ule,wa vyama vya upinzani kung'ara na baadae kupotea? Au tunajirekebisha na kujenga upinzani mmoja ulio thabiti ?
Kama ndivyo huu ndiyo wakati mwafaka wa kuikemea na kuirekebisha chadema,ikiambatana na kuionya isishupaze shingo maana...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemshambulia kwa maneno mwanasiasa mkongwe wa Kenya ambaye pia ni kiongozi wa chama cha CORDS huku akimpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hiyo.
Akizungumza huko Marondela katika hafla iliyowahusisha wanajeshi walioshiriki katika vita mbalimbali, Mugabe...
Machozi yananitoka.....harakati za ukombozi Tanzania ni safari ndefu...
Alikuwa Mwenyekiti Mkoa Wa geita
Inasemekana alipigwa na mapanga na nyundo na Vijana Wa Green Gad
Haswa kwa vyama vya upinzani inakuwaje jimbo lina mbunge wa kuchaguliwa tayari alafu bado linaongezewa mbunge wa viti maalum? Kwanini nafasi hizo zisiwe kwa majimbo ambayo hayana upinzani?
Niko tayari kukosolewa
Pole sana KAMANDA Nusrat Hanje
Wewe ni mpambanaji na daima kwangu wewe ni mshindi,nafahamu harakati zako toka ukiwa UDOM ulipambana sana hata baada ya kuhitimu chuo hukuacha mapambano ulipigania usawa wa vijana na akina mama.
Wakati mwingine hizi harakati zilipelekea kuhitilafiana na wazazi...
Kama matokeo ya uchaguzi ya zanzibar yamefutwa na zec je?matokeo ya Tanzania bara yana uhalali gani kisheria na kikatiba?
kwasababu Raisi wa muungano anachaguliwa pia na wazanzibar
tusaidiane mawazo tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.