Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

mwanasiasa na mwanasheria nguri huyu haonekani, hsikiki ktk anga za siasa mwenye taarifa zake atujuze

nawahurumia sana watanzania wasioona wala kutafakari.kila mtu ana uhuru wa mawazo,mimi ningeona ni busara kama hoja zilizotolewa kuhusu mbowe na slaa kwa matumizi ya ovyo ya ela ya walipa kodi ka zingejibiwa. Tutafakari ilo MH,MASABULI------ alishatuhasa jama KWAMBA TUSIFIKIRI......! nazikubari jitihada za chadema sawa lkn hata mamba uwa anamtafuna mtu uku analia si machozi ya kweli hayo,,, ,,mimi kamwe c mwepesi kuhukumu.tafakari, ipo cku tutawakumbuka hawa
 
nawahurumia sana watanzania wasioona wala kutafakari.kila mtu ana uhuru wa mawazo,mimi ningeona ni busara kama hoja zilizotolewa kuhusu mbowe na slaa kwa matumizi ya ovyo ya ela ya walipa kodi ka zingejibiwa. Tutafakari ilo ma------------ alishatuhasa jama......nazikubari jitihada za chadema sawa lkn hata mamba uwa anamtafuna mtu uku analia si machozi ya kweli hayo,,, ,,mimi kamwe c mwepesi kuhukumu.tafakari, ipo cku tutawakumbuka hawa

Mbona uko kimbea mbea zaidi, nyinyi ndio mnaompotosha chalii zzk sisi ni mbelel kwa mbele hatuna haja na ngonjera zenu
 
mbona uko kimbea mbea zaidi, nyinyi ndio mnaompotosha chalii zzk sisi ni mbelel kwa mbele hatuna haja na ngonjera zenu

wewe hauna tofauti na wale unakuta wanapiga mtu mawe nawe unafika unaanza kupiga ukiulizwa kafanya nini hujui.hawa wanajua yaliyomo ndani mtake msitake.lkn ni ufikiri mdogo ndo unasumbua sana.nyinyi ndo wapewa kofia mkatoa kura mana ufikiri wako ndo unapokomea
 
MABERE MARANDO yule ambaye alilipua ule mtambo wa sms feki ULIOINGIZWA NCHINI NA MTOTO WA KIGOGO , yupo na anakitumikia chama chake CHADEMA ukitaka kumuona njoo kwenye kikao CHA KAMATI KUU KESHO .
 
Wana ukawa yuko wapi mwanasheria Mabere Nyaucho Marandu,mara ya mwisho alikuwa mgonjwa na alikuwa amelazwa. Ni muda sasa habari zake hazijasikika. Kulikoni?
 
Salama wadau?

Huyu mwanasiasa bado anajihusisha na siasa au aliamua kijitoa huku? Sijamsikia muda mrefu. Kwa mwenye taarifa zake atujuze.

Nawasilisha
 
Salama wadau?

Huyu mwanasiasa bado anajihusisha na siasa au aliamua kijitoa huku? Sijamsikia muda mrefu. Kwa mwenye taarifa zake atujuze.

Nawasilisha
Well last time, nakumbuka alikuwa akiumwa na kulazwa pale Muhimbili
 
Ni muda umepita toka huyu kamanda atoweke katika vyombo vya habari na siasa za Tanzania.

Hata ushiriki wake katika siasa za 2015 kuelekea uchaguzi ulikuwa hafifu.

Je amekumbwa na maswahibu gani.? Je ameachana na siasa.? Je siyo tena mmojawapo wa mwanasheria wa chadema.? Maana hata ushiriki wake katika kesi za chama hauonekani.
 
Swali la msingi sana hili. Yupo wapi na Anafanya nini? Maana kwenye intelligencia alikuwa vizuri sana. Alikuwa anawasaidia chadema. Lkni ghafla alitoweka kuelekea uchaguzi mkuu 2015
 
Where is my home boy? Uliko mabere jitokeze, je unaumwa au? Ni yapi yaliku sibu? Si huku kijijini rorya tunakukumbuka sana!!!
 
Ni muda umepita toka huyu kamanda atoweke katika vyombo vya habari na siasa za Tanzania.

Hata ushiriki wake katika siasa za 2015 kuelekea uchaguzi ulikuwa
Je amekumbwa na maswahibu gani.? Je ameachana na siasa.? Je siyo tena mmojawapo wa mwanasheria wa chadema.? Maana hata ushiriki wake katika kesi za chama hauonekani.
Nilitaka kuanzisha huu uzi, lkn nikakuta upo humu. Chadema jibuni swali hili
 
Mh. Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando ni Mgonjwa wa Muda mrefu na alipelekwa India na kurudi bila ya Mafanikio na kwa sasa anaendelea kujiuguza hapa jijini Dar Es salaam na cha Msingi kwetu ni kumuombea Tahfeef kwa Mwenyezimungu Mtukufu
 
Back
Top Bottom