PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Ni wakati wa kujiuliza je?
Tutaendeleza utamaduni ule ule,wa vyama vya upinzani kung'ara na baadae kupotea? Au tunajirekebisha na kujenga upinzani mmoja ulio thabiti ?
Kama ndivyo huu ndiyo wakati mwafaka wa kuikemea na kuirekebisha chadema,ikiambatana na kuionya isishupaze shingo maana itavunjika.
Ni wakati wa kila mwanachadema mfia chama kupaza sauti yake sasa na kueleza hisia zake juu ya mwenendo wa chama.
Mapinduzi ni sasa.
Viongozi wakubali kurekebishwa na wawe flexible.