Wananchi wanaposhindwa kuitetea demokrasia, nini madhara yake?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,455
Naomba ufafanuzi

Ni nini madhara ya demokrasia kubakwa huku wananchi wakiangalia bila kufanya jambo lolote kutetea hakiyao?

Inatuma ujumbe gani kwa mataifa wahisani pale demokrasia inapobakwa na wananchi kushindwa kuitetea?
 
Nchi nyingi za Afrika machafuko yanapoanza wanasiasa hukimbia na familia zao na kuwaacha raia wakiuawa na Jeshi.

Halafu pili yake wanakutana Ethiopia wakiishi maisha ya gharama kwenye mahoteli makubwa ya kifahari na Perdiem kubwa kubwa huku raia wakifa kila siku kwa njaa na vita.

Ndiyo sababu safafri hii watanzania wameamua kuwaangalia watawala na kuwashangaa.Ni meseji kwa watengenezaji SILAHA za kivita kwamba sasa basi kuendelea kuziuza.
 
KWENYE JIBU LAKO BADO SIJAPATA JIBU LA SWALI LANGU MAANA UMENIJIBU KITU KINGINE KABISA.
 
Kama walitaka kwenda kuvinjari kwenye MAHOTELI makubwa na kuacha walalahoi wakiangamia,safafri hii wamesema hapana ,fanyeni biashara haramu wenyewe
 
Inaonekana roho inauma sana zanzibar kuwa tulivu mpaka mda huu ee
 
Back
Top Bottom