Tunakaribia kuaga mwaka 2015 ni kitugani hutakisahau katika siasa za mwaka huu?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,455
Tunakaribia kuufunga mwaka 2015,ni mengi yametokea ya kufuraisha na kuhuzunisha pia,wewe kama mtanzania ni lipi utalikumbuka sana katika mwaka huu.
 
Tunakaribia kuufunga mwaka 2015,ni mengi yametokea ya kufuraisha na kuhuzunisha pia,wewe kama mtanzania ni lipi utalikumbuka sana katika mwaka huu.

Yule jamaa alivyofyekelewa mbali kule dom.
 
chama cha siasa (ACT) kuanzishwa mwezi wa may na kupata mbunge octoba pamoja na madiwani kibao na kufanikiwa mpaka kuongoza halmashauri wakati kuna vyama vilivyoanzishwa 1992 mpaka leo bado vipovipo tu kwanza.
 
Back
Top Bottom