Ukiachana na Majina makubwa ya Tanfoam na QFL dodoma.
Nimekuja kugundua Vitafoam ndio kampuni best ya magodoro Tanzania,magodoro yao yana madaraja ambayo utachagua wewe kuendana na hela yako.
Binafsi nilinunua godoro la VitaSupreme godoro ni quality sana na bei ni nafuu sana ila nashauri nunua...
Kosa la kuingiza mifugo kwenye hifadhi hilo hamlioni?? Nyie mnaopongeza askari kuuwawa.
Pili ni kosa Askari kwenda kuteta na hao wafugaji ina maana tayari walikuwa wanafahamiana na biashara yako ya kampa tena,mwisho wafugaji nao wakachoka.
Rai yangu wote wafugaji na Askari tuwajibike
Nimekumbuka niliwahi kufanya kazi ya kujaza viriba katika vitalu vya miti. Malipo yake yalikuwa viriba 700 kwa sh 10,000/=
Nikakomaa siku ya kwanza nkaishia viriba 300!! Lakini nilipiga moyo konde mpaka nikaanza piga mpaka 1500 kwa siku..
Usikate Tamaa mkuu kazi ngumu hazina hela.
Tofauti ya asali hizo ni;
1.Aina ya nyuki wenyewe,nyuki wakubwa ni hawa nyuki tulizoea kuwaona siku zote na nyuki wadogo ni nadra kuwaona na huwa na mfanano wa nzi(melipona)
2.Asali ya nyuki wadogo ni nyepesi zaidi na huwa na ladha ya uchachu flani
3.Asali ya nyuki wadogo uzalishaje wake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.