witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,742
Kwanini LATRA fine zake ni kubwa sana? Huwa ni kuanzia Tsh. 250,000/- hata kama ni kosa dogo sana.
Ni kwanini zisiwe kama za trafik Tsh. 30,000/- kwa kila kosa.
Na wanakuwa wakali kweli na ukiangalia kazi wanazozifanya hazina tofauti na za trafik. Hawa jamaa huwa wanakomoa watu, aisee!