Recent content by pirate

  1. pirate

    Mtoto wa Mu7 anaomba friendly match

    Hivi Uganda wana Jeshi au Migambo, ni vita vita au mapigano yapi walishawahi kushinda 😂😂, ni hivyo tu wamekuja kuuwa Tz Ila sio kupigana maana wanashindana na watu wasio na silaha ni sawa hawa polisi wetu bila silaha ni WEUPEeee, na watu wanamjua huyo jamaa ni mropokaji tu, Ngoja tuikomboe nchi...
  2. pirate

    Roho ya Mwanadamu Hupumzika Kati ya Hizi Sehemu Nne (4) Baada ya Maisha ya hapa Duniani

    Stori Za kufikiria hızi na ndio Dini zilivyowakamata baadhi ya binadamu kiakili
  3. pirate

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo wengi hapa nipo Angani na Bado masaa mawili ndio nifike
  4. pirate

    CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

    No reforms No elections
  5. pirate

    Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

    Tatizo la kwanza sisi Watanzania ni Waongeaji sana, na Umaskini , ambao upo kwa Jamii zetu nyingi, Angalia Wanasiasa wanapokaribia Uchaguzi wanajua kabisa Wananchi wakiwapa kitu kidogo wataishia kunyamaza kimya, Jana kwenye kikao cha Bunge, mbunge mmoja kagusia Tu Swala la TL basi wabunge...
  6. pirate

    Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    Mkuu habari, Naweza kukufata wapi kitabu hiki? Shukrani.
  7. pirate

    Computer yangu imezima ghafla

    Embu Nijib kwanza aya maswali kisha tupate ufumbuzi;
  8. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    sawa mkuu hamna shida.
  9. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Still nipo Dubai, hao waganda ni watu wengine wanaojifunza scamming kama wenzao Nigerian na uwa nashangaa upo na akili zote hadi unafika Dubai then mtu anakuja kukutapeli huku kwa maneno 😅😅😅, anyway kila mtu ana mjanja wake. Watz bado tupo Wachache ukilinganisha na mataifa mengine ya Africa...
  10. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Yap hiyo ni sababu mojawapo 😃
  11. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Ila pia Niko against na Commissions JOBs kwasababu kwa experience najua watu wengi wamelizwa na hizo style za job kwasababu wengi wanazinguliwa baada ya Recognition period zile siku 90 unatemwa bila mkataba na umeshagharamika kulipia hiyo kazi.
  12. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Aaahh sawa mkuu hapo unamaanisha huyo agent yupo sharaf DG,… C ndio? Anyway mi nilikwenda alone na sikuwaga na Agent tangu natoka Tz adi nikafika Dubai mwenyew, though my Target ilikuwa Sharjah kwa sababu zangu binafsi ila nikaishia Dubai, though nasikiaga kuna agents ambao ni Genuine ila...
  13. pirate

    Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

    Kazi za kununua Nina experience nazo sana na 50% ni scamming nilishawah na hasa hizo za security ndio balaa watu wanalizwa sana na hao wahindi wenye hizo kampuni utaambiwa ununue kazi baadae ulipie pesa ya SIRA ambayo kisheria ni muhajiri wako inabidi akulipie but wengi wao wanakuchaji na...
Back
Top Bottom