Recent content by piper

  1. piper

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anachanganya sana mambo. Hawezi akajilinganisha na Prof. Assad kabisa

    🤣🤣🤣kwamba kuna vidole havipo????
  2. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meseji iliyoniumiza mpaka nikashindwa kuijibu. Ushauri wenu jamani

    Mwana ulizingua, ile day one tu mtu anaingia lodge halafu unamuacha asepe, shame, samaki kanasa kwenye chambo halafu unamnasua????serves u right alivyokupa za mbavu, shubamiiit
  3. piper

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Anamkaribisha mkulu wa kaya CDM
  4. piper

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Well stated ukawa ndo habari ya mujini kama unabisha sogelea moto uwake
  5. piper

    JamiiForums Tanzania Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

    Naunga mkono hoja
  6. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    Hivi Shabaan Robert alitunga kitabu chake cha "KUSADIKIKA" MWAKA GANI VILE?
  7. piper

    JamiiForums Tanzania wabunge wa CCM bwana!

    Mimi siwalaumu sana ccm na mibunge yao, ila akili za watanzania sijui nani aliyeturoga tunaona watu wanavyoboronga bungeni lakini tunawarudisha hao hao tena, 2015 ccm wakishinda kwa kishindo kama wanavyojitapa itabidi ushauri wa Mkosamali ufanyiwe upembuzi yakinifu tutafute consultancy wa...
  8. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

    Loading.....:typing:
  9. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

    Wamlaumu nani wakati timu yao ni mchekea? Gerald ashazeeka kwa hiyo timu haina jipya.
  10. piper

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila ushauri wako kwa Zitto utampotosha tena

    Kweli kabisa mkuu haujakosea Lissu ana akili mbovu ajabu ndo maana kwenye mjadala wa bungeni kuhusu escrow aligeuka SI unit maana kila kitu alikuwa anaulizwa yeye, small minds discuss people by the way Lissu ni mnyaturu.
  11. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa

    Hahahaha, mjeshi acha hzo
  12. piper

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

    Mkuu sometimes si vizuri kuongea kama huna facts on the ground, Mwalimu alikuwa groomed CDM muda mrefu sana toka akiwa channel 10, hata mwaka 2005 ni mmoja wa wana habari waliozunguka sana na kampeni za CDM, alikuwepo kwa kazi maalum, so usiende spidi tafuta kadi yake ya uanachama uangalie...
  13. piper

    JamiiForums Tanzania Kitu hicho

    Mkuu kulikoni unasema mashallah kwa dume jike?
  14. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Sure thing bidada, chipsi yai huenda zinahusika
  15. piper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Inaonekana hukusimamia show mkuu, hence umeperform below expectations
Back
Top Bottom