una akili sanaTubu kwa Muumba wako upate amani ya moyo.
Alikuwa bnt wa kwnz kumjua bt now ninae mwingine ambaye nina malengo ya kuoa km atakuwa mvumilivu.Ila nikimwona jamaa nasikitka kupta kiasi.....
wakati unamtafuta mume wake uwe tayari umeshaanza mazoezi ya kushika ukuta... ununue mafuta ya K-Y .,,,.... ununue kinga....
pia andaa hela ya sanduku la parapanda...... pia sanda na nguo ya kukuzikia........ na hela ya kulipia eneo la kukuzika......
karibu tena
wewe huoni kama ni ufirauni kwenda kujitangaza kwa jamaa kuwa umeshapiga.. nenda kwa wauzaji ukaulize yana kazi gani? ila kwa mwaanume kazi yake ni kushikishwa ukutaunamaanisha nn???hyo mafuta ya K-Y Umeshawahi tumiwa nayo,huo ni ufirauni
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, pia nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kuna dada ya shemeji yangu ambaye ameolewa ila katika kukua kwetu yaani utotoni wakati tulipokuwa shule ya msingi tulikuwa na uhusiano but sikuwahi kuzini.
Lakini wakati nilipomaliza kidato cha sita kwa hali isiyokuwa ya kawaida tulipoweza kuzini kwa siku ya kwanza na siku iliyofuata alikuja tena na tukazini tena, kwangu ilikuwa mara ya kwanza kumjua mwanamke na kufanya mapenzi.
Kitu kinachoniumiza mpaka leo, binti huyo ni mke wa mtu pia ameshazaa mara mbili, nataka nimtafute mme wake nimuombe msamaha ili niwe huru kifikra na moyo unaniuma sana nifanyaje But yeye huyo mwanamke nilimwacha siku nyingi.
Tushauriane vizuri ndugu zangu
Hizi ndio akili za mwanachuo....