Recent content by pinochio

  1. pinochio

    Bussiness Management Software

    Nahitaji soft ware kwaajili ya duka kurecord mapato na matumizi + expiry date. Kindly assist.
  2. pinochio

    Psychometric Aptitude Ability Test (PAAT)

    Mimi nilishafanyaga hii test na hawa waKenya last year. Ukiwaandikia email watakutumia test ambayo utaifanya kwa muda fulani then wanakupa majibundani ya 2 days the maximum. E.S Africa www.eserveafrica.com . Goodluck!!
  3. pinochio

    VETA washaita watu kazini?

    Duh! so kwa ambao hatujapigiwa simu ndo tusha pigwa chini.:A S 109:
  4. pinochio

    VETA washaita watu kazini?

    Mh! kama bado watu hawajaitwa basi itakuwa Juneeeeee! Ndo kuanza kazi au July baada ya mwaka wa fedha kuanza. Sasa hapa hadi waite utakuta watu wengi washapata kazi sehemu nyingine .Toka interview ya kwanza iam sure miezi sita ishapiata.:scared::decision::A S 109:
  5. pinochio

    Anayetaka kujiajiri na Nertwork Marketing!

    Mh hii kitu mbona nimeingia na hizo hela sizioni ndugu? kwani wewe unafanyaje?
  6. pinochio

    Anayetaka kujiajiri na Nertwork Marketing!

    Wana JF kwa yeyote yule mwenye kutaka kujiajiri na Nertwork Marketing naomba aniinbox ili nimuunganishe kwa mtu ninayemfahamu. Seriously hii bisness inatengeneza hela ila inahitaji mtu uwe unainteract/socialize sana na watu, pia uwe serious na goals zako. Inahitaji mtaji mdogo ila future yake ni...
  7. pinochio

    jamani angalieni tangazo hili

    Read between the lines, start date na dealine ya kussubmit cv.
  8. pinochio

    Post za tra

    Duh! hapo sasa:nerd:
  9. pinochio

    he!kumbe nafac za kazi nida,walisharipoti kazini!!

    :A S 39: Duh! kama huu ndo mfumo wa kuajiri watu makazini bora nianze hata kamtaji kakuuza nyanya maana kina kabwela kama mie with No godfaza:disapointed: kazi tutaishia kuziona tu humu ndani bila kuambulia chochote. :hatari::frusty:
  10. pinochio

    VETA washaita watu kazini?

    Mh! ila ndugu kwenye subira hapa ndo muda muafaka wa vimemo kupita na wengine kupigwa chini.Beware!!:nerd:
  11. pinochio

    Sema chochote kuhusu wachaga

    Hah ah ah ahah ahha hii chiboko kwa kweli nimeilike mara 1000:eyebrows:
  12. pinochio

    VETA washaita watu kazini?

    Duh! Kweli kwa stail ile nahisi C ndo jibu muafaka.
  13. pinochio

    VETA washaita watu kazini?

    Wandugu wa JF , kwa wale waliofanya second interview VETA; Nakumbuka walisema watawajulisha watu in two weeks.Je kuna waliojulishwa??maana two weeks imeisha toka last week na sasa tupo week ya tatu. Naombeni mnihabarishe jamani usikute watu na kazi washaanza.
  14. pinochio

    Nipeni dili pleaseeeeeeee

    Kujiajiri unaweza wewe?Kama unaweza inbox me nikupe michongo. :juggle:
  15. pinochio

    Veta interview through delotte

    Washaita second interview mkuu.
Back
Top Bottom