Veta interview through delotte

ngelemakumulu

Member
Oct 22, 2011
17
2
waliokuwa interviewed na deloitte vipi veta wameshaita?
Mwanzoni kupitia jukwaa hili kuna mdau alisema wameambiwa labda february kwa sababu serikali haina fedha.kuna mdau yeyote mwenye taarifa zao?tafadhali mtujuze.
 
Washaita second interview mkuu.
 
Back
Top Bottom