he!kumbe nafac za kazi nida,walisharipoti kazini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

he!kumbe nafac za kazi nida,walisharipoti kazini!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by white wizard, Feb 28, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  leo nimekutana na rafiki yangu mmoja,anasema yeye ameshapangiwa na mkoa wa kufanyia kazi!kwani walimpangia sehemu ambayo hataki!hivyo wamembadilishia,kwani yeye aliitwa tu kwani ana god father.kwani nafasi za kazi zilitangazwa kweli?kwani hata juzi kuna mdau alikuwa anaulizia humu.kaeni mkijua wa2 wameshaanza kazi.
   
 2. pinochio

  pinochio Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S 39: Duh! kama huu ndo mfumo wa kuajiri watu makazini bora nianze hata kamtaji kakuuza nyanya maana kina kabwela kama mie with No godfaza:disapointed: kazi tutaishia kuziona tu humu ndani bila kuambulia chochote. :hatari::frusty:
   
 3. E

  Esther Kimario Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo red hapo juu nimezikubali! Kwani wewe kaka hujui kuwa kazi wanapewa watu wenye address tuu siku hizi? Kwani mi nilishagundua mapema nikasema kwani nikifuga ngómbe wangu wawili wa maziwa kwani sitapata hela sawa na kuajiliwa? especially kama ajira zenyewe ni za kujuana ki-hivyo!
   
Loading...