Anayetaka kujiajiri na Nertwork Marketing! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayetaka kujiajiri na Nertwork Marketing!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pinochio, Mar 16, 2012.

 1. pinochio

  pinochio Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF kwa yeyote yule mwenye kutaka kujiajiri na Nertwork Marketing naomba aniinbox ili nimuunganishe kwa mtu ninayemfahamu. Seriously hii bisness inatengeneza hela ila inahitaji mtu uwe unainteract/socialize sana na watu, pia uwe serious na goals zako. Inahitaji mtaji mdogo ila future yake ni nzuri mnooo. The best thing ni kwamba you can do it part time or full time. U will never regreat!!:wink2:
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Nimesahau namna ya ku-Pm, nielekeze pls.
   
 3. pinochio

  pinochio Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mh hii kitu mbona nimeingia na hizo hela sizioni ndugu? kwani wewe unafanyaje?
   
Loading...