Recent content by Pincode 001

  1. P

    JamiiForums Tanzania Giza nene linakuja Tanzania Punde. Tujiandae...!

    Kweli we mwingereza nenda kwenu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali: Korosho yote kubanguliwa nchini na hairuhusiwi kusafirisha korosho ghafi nje ya nchi

    Ndio tukiamua tunaweza nakubali harakati
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    Big up hizo ndo faida za Vyama vya ushiriki wakulima kuwa na nguvu na kupambana na wanunuzi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimegundua utajiri upo shambani

    Vikundi pia vinahusika mkuu umoja ni nguvu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nimegundua utajiri upo shambani

    Unaanza kidogo kidogo mkuu vitu haviji kwa pupa hivyo kama unavyofikiri.kweli mkuu kwenye jambo lolote uvumilivu wa hali ya juuu unahusika sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

    Mwalimu ndo Zaidi Huyo Mandela mwenye anatambua Hilo na alikuja Sana bongo kwa ticha kupata madini konki. Ticha levels zake Akina nkwame, marcus Garvey ,
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania(MSD), kusambaza dawa na Vifaa tiba kwenye nchi 16 za SADC

    Nakubali harakati big up
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali iruhusu watu binafsi wajenge barabara za mitaani

    hiyo kitu ipo mfno daraja la kigamboni ndo maaana kunakulipia hadigharama zirudi na kikao chabunge juzi walijadili muswada Wa maboresho ya PPP .
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

    kweli we mwanaume wa dar
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    wanajifanya hawa muelewi slaa ni nani huku wanaumia roho kindanindani
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    uteuzi makini kabisa kwa muda muafaka hongera slaa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Heri ya kuzaliwa Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli

    Hongera ya kuzaliwa kwa mheshimiwa Rais wangu of all tIme after late K.Nyerere
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maridhiano kati ya Barrick na Serikali, nje wanapotuona mashujaa huku sisi tukipiga porojo

    majamaa hawataki kabisa kuziskia hizizi habari asee wakati ni mambo yamsingi kabisa kama Taifa kufatilia mali zake
  14. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi kadhihirisha hakufaa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya makinikia

    we pimbi unajua nni wewe ni vi thread vya kipumbavupumbuva watu wamekaa miezi mitatu wana jadili wwe ambaye hata hujui a wala b unaongea ufala ufala acha mabo ya ki k.......
Back
Top Bottom