Heri ya kuzaliwa Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli

Mimi simuelewi huyu mzee katika yafuatayo...

Wapinzani kutwangwa risasi na kusababisha kuishi kama digidigi ktk nchi yap.

Anatetea wala rushwa na watoa rushwa elhali majukwaani anajinadi anaichukia rushwa

Visasi visivyokua na maana tena vya kitoto kabisa

Kutopokea ushauri na kujiona yeye ajua kila kitu

He is the man of vice-versa... Anachoongea sicho anachokitenda
 
Hongera rais wangu niliye kupigia kura..
MUNGU akulinde na kukujalia miaka na heri duniani mpaka akhera, watanzania tunaokupenda tumekubali uongezewe miaka ya kuongoza hata 15 ili nchi inyooke..!
 
images

Happy birthday C in C.
Miaka 57 iliyopita anazaliwa rais wa JMT,ndugu John Pombe Magufuli.
Vyombo kadhaa vya habari vya kimataifa vinamtaja kama almasi iliyo mchangani.Ni nadra sana kupata almasi(rais mzuri) kutoka mchangani (Afrika)
Tanzania president John Magufuli discloses his salary on TV | Africanews
kutoka jarida maarufu la wanazuoni wa Kiafrika (African Argument)-Tanzania: Magufuli’s mining reforms are a masterclass in political manoeuvring - African Arguments
Kutoka Reuters-Tanzania's Magufuli rejects calls to extend rule beyond two-term limit
Kutoka gazeti la kiengereza la Herald-Magufuli takes Canadian mining giant head-on | The Herald
Kutoka nyumbani hapa (The Citizen)-President Magufuli launches modern railway project
Dubwasha watumishi hewa lilivyokomeshwa ndani ya miaka miwili pekee -Rais Dkt Magufuli awapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi hewa walio katika orodha ya malipo ya mishahara ya... | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

To be continued .

Tumuombe Mungu aigeuze Roho yake iliyojengwa kwa Mawe ibadilike kuwa ya Nyama kipindi hiki!! cha kuzaliwa kwake awe na utu na huruma kwa binadamu wenzie
 
Huu Uzi ni Muhimu hasa kwa kipindi hiki..Utaonyesha ni kwa kiasi gani Mkuu Anakubalika..Nategemea Wachangiaji watazidi Uzi Wa kumtakia pole Mh.Lissu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom