Recent content by PINAA

  1. PINAA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Cjawah kuorder jumia ila nackia kitu unalipia baada ya kuletewa na km hakijakuridhi wanakirudsha wanaleta chengne friend of mine ashawah kuagiza jumia kitu kakirudsha mara tatu wamemeletea chengne
  2. PINAA

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna laana

    Rafki yngu mmoja yeye baba yake mzazi akakosea kupga sim kwa kimada wake akajua anaongea na baby wake kumbe ni mtoto wake hadi aibu kwa lana yake
  3. PINAA

    JamiiForums Tanzania Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    Kupima kwa macho ndo unakosea pimia mezani cake ukikosea step moja tu haiivi mfno kikopo cha blue babd cha nusu km unataka kupma ungs nusu bac vinakua viwil hadi pale kwenye mstar kwasabu unga ni mwepec Blue band nzito huez kupima kimoja na mayai km unapka vipimo vya mayai sita bac weka sita tu...
  4. PINAA

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kumpata mtoto wangu

    Hapo ndo mnakosea je km ndo mtoto wa pekee alokujalia Mungu na ushamkana na ukimkosa kumpata angali mdogo akikua mama atamjaza kasumba asahau km ana baba wewe
  5. PINAA

    JamiiForums Tanzania Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    Hakikishs hukosei kipimo hata kidogo Mfano Blue band robo tena tumia ile ya kupima mana ya kopo inakua imeganda sana mafuta au tumia samli tu ile ambayo haina chumvi Sukari robo Unga the robo Mayai sita Saga blueband na sukar si chini ya dakika 60 km una mda weka mayai saga kwa mixer hadi...
  6. PINAA

    JamiiForums Tanzania Lotion/Mafuta ya kupakaa kwa mwanaume sehemu zenye baridi

    Johnson baby jelly
  7. PINAA

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

    Sio tabia nzur
  8. PINAA

    JamiiForums Tanzania Kumbuka malipo ni hapa hapa chini ya jua

    Kama kawaida yako Jose
Back
Top Bottom