Naombeni msaada jinsi ya kumpata mtoto wangu

Wakuu habari zenu

Niende direct to the point ilikua ni mwaka 2016 nilikua mkoa wa kilimanjaro nafanya project moja pale moshi mjina nikakutana na binti mmoja mzuri saana nikamtongoza akakubali alaikua anasoma chuo cha ushirika moshi kwa sababu pale mimi nilikaa kwa mda wa miezi 8 akaja akahamia kwangu tukawa tunaishi wote kama mke na mume tulikua tunazini bila kinga siku za kukaribia kurudi zikaisha nikamuambia mimi nakaribia kuondoka ila tutakua pamoja akanisihi sana nikae pale nikamuambia no haiwezekani .

Basi bwana nikikwa dar mwezi wa 4 akanambia ana mimba yangu nikamuambia siko teari kulea akanambia wewe mwanaume ni shetani unakataa kiumbe chako nikajitetea ila hakunielewa akaniblock kila mahali na namba akabadilisha .Mimi nilidhani ananitania.
siku zikaenda miezi ikasogea hee siku moja nikapigiwa cm na Rafiki yake anambia ANNA(fiction name) amejifungua mtoto wa kiume mh nikapiga mahesbu siku ya mwisho mimi kukutana nae kimwili mpka alipokuja kujifungua daah nikawa 100% nahusika na ile mimba nikwa bado natafakari siku moja nimeingia whatsapp zikaingia pic za mtoto mdogo wa miezi kama 5 hivi kuzifungua vizuri daah copy yangu kabisaa.

Nikapiga ile namba akapokea x wangu akanmbia ulimkataa mtoto je huyo mtoto sio wako ikabdidi niwe mpole maana dogo kani copy Kila kitu akanmbia yule mtoto kampa mwanaume mwingine na sitokaa nimuone na nisimzoee akaniblock tena. na Ameolewa na mwanaume mwingine na Anaishi nae na hyo mtoto teari kashapewa jina la baba mwingine naumia sana.

wakuu naombeni msaada jinsi ya kumpata mwanangu
Huna mtoto hapo acha kulilia tafuta mke bas Mungu atakjalia utapata wako
 
Wanaume wengi watumishi huwa bado wana tabia za kivulana. Akisikia mimba yake anawazashahara hautoshi.
 
Mkuu risasi zimeisha nini hapo ndio ukute ulikuwa na risasi moja tu
 
Wakuu habari zenu

Niende direct to the point ilikua ni mwaka 2016 nilikua mkoa wa kilimanjaro nafanya project moja pale moshi mjina nikakutana na binti mmoja mzuri saana nikamtongoza akakubali alaikua anasoma chuo cha ushirika moshi kwa sababu pale mimi nilikaa kwa mda wa miezi 8 akaja akahamia kwangu tukawa tunaishi wote kama mke na mume tulikua tunazini bila kinga siku za kukaribia kurudi zikaisha nikamuambia mimi nakaribia kuondoka ila tutakua pamoja akanisihi sana nikae pale nikamuambia no haiwezekani .

Basi bwana nikikwa dar mwezi wa 4 akanambia ana mimba yangu nikamuambia siko teari kulea akanambia wewe mwanaume ni shetani unakataa kiumbe chako nikajitetea ila hakunielewa akaniblock kila mahali na namba akabadilisha .Mimi nilidhani ananitania.
siku zikaenda miezi ikasogea hee siku moja nikapigiwa cm na Rafiki yake anambia ANNA(fiction name) amejifungua mtoto wa kiume mh nikapiga mahesbu siku ya mwisho mimi kukutana nae kimwili mpka alipokuja kujifungua daah nikawa 100% nahusika na ile mimba nikwa bado natafakari siku moja nimeingia whatsapp zikaingia pic za mtoto mdogo wa miezi kama 5 hivi kuzifungua vizuri daah copy yangu kabisaa.

Nikapiga ile namba akapokea x wangu akanmbia ulimkataa mtoto je huyo mtoto sio wako ikabdidi niwe mpole maana dogo kani copy Kila kitu akanmbia yule mtoto kampa mwanaume mwingine na sitokaa nimuone na nisimzoee akaniblock tena. na Ameolewa na mwanaume mwingine na Anaishi nae na hyo mtoto teari kashapewa jina la baba mwingine naumia sana.

wakuu naombeni msaada jinsi ya kumpata mwanangu
wewe ni mkundu kabisa
 
Vuna ulichopanda...usiharibu ndoa za watu, wenzio wametulia kimya wanalea na usikute wanafuraha sana
 
Ukipanda Mahindi tegemea kuvuna Mahindi, ulifanya kosa kubwa sana kukataa Mimba ukijua kabisa kuwa wewe ni mhusika, kwa kitendo ulichokifanya huyo Mpenzi wako angeweza kuchukua maamuzi ambayo mengine yangekuwa mabaya lakini aliamua kuchukua maamuzi ya kukubaliana na hali.
 
Wakuu habari zenu

Niende direct to the point ilikua ni mwaka 2016 nilikua mkoa wa kilimanjaro nafanya project moja pale moshi mjina nikakutana na binti mmoja mzuri saana nikamtongoza akakubali alaikua anasoma chuo cha ushirika moshi kwa sababu pale mimi nilikaa kwa mda wa miezi 8 akaja akahamia kwangu tukawa tunaishi wote kama mke na mume tulikua tunazini bila kinga siku za kukaribia kurudi zikaisha nikamuambia mimi nakaribia kuondoka ila tutakua pamoja akanisihi sana nikae pale nikamuambia no haiwezekani .

Basi bwana nikikwa dar mwezi wa 4 akanambia ana mimba yangu nikamuambia siko teari kulea akanambia wewe mwanaume ni shetani unakataa kiumbe chako nikajitetea ila hakunielewa akaniblock kila mahali na namba akabadilisha .Mimi nilidhani ananitania.
siku zikaenda miezi ikasogea hee siku moja nikapigiwa cm na Rafiki yake anambia ANNA(fiction name) amejifungua mtoto wa kiume mh nikapiga mahesbu siku ya mwisho mimi kukutana nae kimwili mpka alipokuja kujifungua daah nikawa 100% nahusika na ile mimba nikwa bado natafakari siku moja nimeingia whatsapp zikaingia pic za mtoto mdogo wa miezi kama 5 hivi kuzifungua vizuri daah copy yangu kabisaa.

Nikapiga ile namba akapokea x wangu akanmbia ulimkataa mtoto je huyo mtoto sio wako ikabdidi niwe mpole maana dogo kani copy Kila kitu akanmbia yule mtoto kampa mwanaume mwingine na sitokaa nimuone na nisimzoee akaniblock tena. na Ameolewa na mwanaume mwingine na Anaishi nae na hyo mtoto teari kashapewa jina la baba mwingine naumia sana.

wakuu naombeni msaada jinsi ya kumpata mwanangu
Hapo ndo mnakosea je km ndo mtoto wa pekee alokujalia Mungu na ushamkana na ukimkosa kumpata angali mdogo akikua mama atamjaza kasumba asahau km ana baba wewe
 
Back
Top Bottom