Recent content by pilu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Ukivimbiwa amani inakua tatizo sana. Umetumia vibaya uhuru wa maoni. Na wengi kama ninyi hata elimu yenu hua ni ndogo au yakubaba isha. Jitafakari.
  2. P

    JamiiForums Tanzania The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Wewe kama mwananchi wa kawaida bila kujali ni mtoto wa nani, kimsingi kwa mtu makini na ambaye ni mtaifa na si mdini ni LAZIMA atakubaliana na wewe 100%. Sikutegemea kama wewe ungeweza kutoa mchango mzito na muhimu kama huu. Wengi wamejawa udini na ni wavivu wakufikiri mambo wa wakati ujao so...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa..................

    Sure, kuna ukweli katika hilo.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi:wanawake wa kitanzania hupenda kudate na wanaume wenye professional hizi.

    Ingekua vizuri zaidi kama ungefatilia pia na sababu za wanawake kupenda hivyo kutoka katika chanzo ulicho patia habari hiyo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Husband coming home at 4am? is that ok?

    Bado ni mvulana akishakua mwanaume yote yataisha,onyesha furaha kwake then tafuta week end moja nzuri unongone nae kwa upole na mahaba akwambie nini tatizo ili lirekebishwe, vinginevyo jifunze kumzoea ili uepuke gharama.:A S-heart-2:
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

    Kwanza nakupa hongera kijana, pili naamini sasa kwamba muda mwingi utakua umewekeza katika masomo ambalo pia ni jambo jema, jitunze hakuna madhara, pambana na maisha mpaka utakapo pata wa maisha :nono:
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa,ingekua wewe ndio lema x mas yako ungefanyia wapi?

    nakusikitikia kama hilo kanisa lenu linaruhusu hivyo vitu vinavyo itwa "X mas", Tafakari chukua hatua.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa,ingekua wewe ndio lema x mas yako ungefanyia wapi?

    Mkuu nadhani wajua maana ya X, sasa wanapoita X mass inakua na maana gani? Tena nimesikitika wengine wanadai watakua kanisani, imenisikitisha sana.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    haa haaa haaa!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa,ingekua wewe ndio lema x mas yako ungefanyia wapi?

    kwani X mas ni kitu gani mkuu?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    ...Ushindi wa kitaifa..
  12. P

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    ....Pongezi kwake.. Ni ushindi wa kitaifa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Yes!Jf=uhuru wa mawazo na hisia. Goodmorning!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kaeni mijini, CHADEMA imeteka hadi kijijni Kilolo

    Great..
  15. P

    JamiiForums Tanzania CUF yataka serikali tatu

    MziziMkavu nimekupata vema, tafadhali mkuu kama una takwimu za kuonyesha wazanzibar wote hawataki muungano naomba uzitupie hapa., ntashukuru sana mkuu!
Back
Top Bottom