Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

Je aliyekutoa ndiye aliyekuoa? Kama siye wewe ni mzinzi na ulifaa kupigwa mawe enzi za kina Musa.Hiyo kitu ni special kwa mume na si vinginevyo tatizo munakuwa mapepe mno na matokeo yake munaolewa huku hamna na ndiyo maana munasalitiwa, Utabisha lakini kama utaolewa na bikira ungekuwa mwanzo wa kiapo kwa mumeo.

sasa unalia?
 
Je ukiamka usingizini asubuhi unakuwa umedinda? kama ndio then wewe ni mzima.

Kuwa makini kuna uvumi kuwa zikikaa sana ndani bila kutoka huwa zinahamia nyuma.

hahahahaha,yani wewe bora hata mzaz wako akubadilishe na koroboi moja ya mafuta ya kula au box la kunguni.
 
kaka, usiwaze.........hakuna tatizo ukikaa hivyo na ni vizuri ukasubiri hadi utakapooa maana hayo mambo yapo kwa ajili yako.
 
Je aliyekutoa ndiye aliyekuoa? Kama siye wewe ni mzinzi na ulifaa kupigwa mawe enzi za kina Musa.Hiyo kitu ni special kwa mume na si vinginevyo tatizo munakuwa mapepe mno na matokeo yake munaolewa huku hamna na ndiyo maana munasalitiwa, Utabisha lakini kama utaolewa na bikira ungekuwa mwanzo wa kiapo kwa mumeo.
😱🙂
Poleeee kaka unaongea utadhn unajua historia ya maisha yangu jiulize dadako katolewa akiwa na umri gani..binti yako hapo nyumban anayo hiyo bikra usukute katolewa akiwa darasa la 3..unajifanya dini kali kwenda zako kule na dini yenu ya kupigana mawe kzi kuwajudge wenzenu huku mna midhambi kibaoo...si ajabu binti yako una mvizia uitoe mwenyew coz umeikosa kwa mkeo poleee wee...bora mie niloitoa at matured age...n m proud of tht
 
Bora umwambie mi ni 25 na hata simjui mwanaume
amu beiby, nime ku-PM tujuane.. mimi ni kama wewe pia simjui mwanamke!!
 
Last edited by a moderator:
Hamna tatizo but, unataka kuoa na umri gani?
 
Congrats! I started sex whn i was having 26 yrs n everyting was just normal!
 
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?

Kwanza nakupa hongera kijana, pili naamini sasa kwamba muda mwingi utakua umewekeza katika masomo ambalo pia ni jambo jema, jitunze hakuna madhara, pambana na maisha mpaka utakapo pata wa maisha :nono:
 
Mimi nina uzoefu wa watu wanne nawajua kabisa..walikuwa wapendwa wanachofanya baada ya shule na mishe nyingine ni kwaya...na wengine kihome home...sasa wameoa huwezi amini ndio wanarudia zile zama za kutafuta 'videm'...wanafanya mambo ya jabu ajabu kama ya ule mri wa kubalehe....So anza kula raha na mafunzo mwanakwetu.....
 
nivyema ukikaa hivyo hivyo na ucthubu2 kujiingiza kwenye huu ulimwengu wa warembo mpaka hapo utakapo taka kuoa(hakuna tatizo lakukusumbua juu ya hilo)

ni kweli hatasumbuka ila pu,..nyeto itamuua huyu kijana..
 
Mtafute bikra mwenzio

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hongera sana , wanaume hufa mapema kwa sababu ya kugegeda sana, kufanya mapenzi ni sawa na kukimbia kilometre kumi kwenda na kurudi. ukikaa bila kufanya mapenzi unakuwa na afya nzuri sana na hakuna madhara yeyote. mimi nilianza kufanya mapenzi baada ya kuoa mke miaka 26yrs sikupata madhara yeyote na sasa ndoa yangu ina miaka 13 ninafurahia ndoa , mpaka sasa ni mwaminifu kwa ndoa yangu sina nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom