Kaeni mijini, CHADEMA imeteka hadi kijijni Kilolo

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Wiki lilopita nilikuwa wilayani Kilolo mkoani Iringa nilijawa na furaha baada ya kuona mabadiliko makubwa katika fikra za watu wote wakisema wamechoswa na CCM, nilifika mpaka kijiji cha ukumbi ambako niliambiwa kuwa Mwenyekiti wa Kijiji ni kutoka CHADEMA, na mabadiliko hayo kwao yamewaletea neema kwani umekuwa ni uongozi sikivu na unaowajali Wananchi, nilishangaa sana kuona kijiji cha porini kama vile kukawa na mabadiliko makubwa ya namna ile na watu wakichambua udhaifu wa serikali ya CCM Iliyopo madarakani. mtazamo wangu ni kuwa vijijini sasa wamekuwa moto kuliko watu wa mijini.
 
Kwi! Kwi! Kwi! Huku kwetu nipo na vijana wenzangu tunachimba kaburi la ccm wanadai futi sita haitoshi wanataka Liwe ft 12
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom