Recent content by PILSNER

  1. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Sio kwa ai lakini..,!?
  2. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

    Thibitisha madai yako mkuu.
  3. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Duuh Duuh... Kama ni kweli basi jamaa atakupa tofauti na tumfiriavyo. Hzo mambo sio za Kila mtu sawa ila in terms of understanding.....
  4. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Habari mkuu pm yako umefunga, Naomba na Mimi unisaidie hzo materials Natanguliza shukrani
  5. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Mimi binafsi naamini itapanda hv karibuni Naomba wachumi mnisaidie Kwan mfano haka ka akiba kangu ni ka ka change sai kawe Dollar afu ikipanda ni ka change kawe shilingi Kuna risk ya kukapoteza .!?
  6. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Ngoja nikae vizuri nikucheki hapo
  7. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Sawa mkuu
  8. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Sio kwa ubaya mkuu ila hyo welding machine SI Bora sana ndo maana nkaomba kwa Bei hyo stability yake sio kubwa ki hivyo Ntumie namba tuwasiliane kama huyo jali
  9. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    500k inakulipa mkuu..!?
  10. PILSNER

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania na upatikanaji leseni mkononi

    Maan a kamili ya MIFUMO HAISOMANI
  11. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

    Snap sio snap
  12. PILSNER

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    Hivi devi ana shida gani lakini
  13. PILSNER

    JamiiForums Tanzania TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Hivi Kuna Alie kamatwa kwa sababu ya kula mchana kipind Cha kwaresma..!!? Kusema ukweli na kwa maoni yangu binafsi MUUNGANO Uvunjwe kwa na sijui ni kwanini tuna wang'ang'ania hawa jamaa wakati wao hawatupendi..!?
  14. PILSNER

    JamiiForums Tanzania You can change your Genetic code

    Ila njia yenye hajaitaja. Au Mimi ndo kidhungu hakipandi
Back
Top Bottom