Kwa nini tusingeanza sisi kuvumbua ila wakaanza wao. Kubali kataa huo ni ukweli wenzetu wana akili kutuzidi. Kama stick zenyewe made in chini. Wakati tuna miti kibao. Wakati ww unawaza kucheza game kwenye simu, kompyuta, mwenzako anawaza akutengenezee nini ili ibaki kiwa mtumiaji tu na cy...
Msiwe Mnaamini vitu vya kuambiwa nendeni mkaishi na watu wa huko mtapata ukweli!! Ww unayesema kijiji cha kalundi ni sehemu ambako wachawi wamekimbilia ww ni muongo tena muongo mkubwa na unatakiw kuwaomba msamaha wanakarundi kwa kuwapa sifa isiyokuw yakwao. Mimi natokea maeneo hayo kijiji cha...
Hata hivo baadhi ya wadaiwa makosa yamefanyika na bodi yenyewe, watu walizoeshwa kuw ukiajiliwa tu unaanza kukatwa, sasa kwa nini hawakukatwa halafu mnawambia ni wadaiwa sugu? Kama mmewajua wakateni kihalali na cy kuwakomoa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.