Spika Ndugai:Tukimtaka Makonda hachomoki

Spika Ndugai:Tukimtaka Makonda hachomoki

bunge halina uwezo wa kumuwajibisa mtoto wa baba wakishoboka tu wanatumwa kwa matibabu
 
Acheni umbea fa.yeni kazi. Raisi ameamua iwe hivo mnalia nini sasa!!!
 
Rafiki yangu ww jali ya kwako kwa siku hizi cz hata tukio.gea vipi huyu mtukufu habadiriki!!
 
Airport kuna VIP hivyo haijalishi mtu anapanda ndege gani, VIP ina ukumbi wa press conference.
P
Usalama wake hapo VIP umezingatiwa? Nadhani angefanyia ndani ya Ndege ( possibly, EMIRATES) ingekuwa vyema dakika chache kabla ya kupaa kuelekea India.
 
Tanzania Daima sio gazeti la kulitegemea sana kwa sababu mrengo wake unaeleweka, Naamini sii kweli kuwa rais Magufuli amemzuia Makonda kuhojiwa na Bunge kwa sababu rais hana málaga hiyo. Ninachofahamu Makonda bado hajaitwa na Bunge wala hajawahi kuitwa mahakamani akagoma kwa sababu wito rasmi wa Bunge au Mahakama huletwa kwa samamsi inayotumwa kwa despach ambayo ni hand delivery na anapokea na kusaini kupokea. Siku ya siku asipotokea, anatumiwa arrest warrant anabebwa mzobe mzobe!.

Kuna vingi vya uongo kuhusu kadhia hii ndio maana nilisema hivi https://www.jamiiforums.com/threads...di-ya-mafanikio-yake-makonda-wapuuze.1208888/

Paskali
******
UNANG'ATA NA KUPULIZA.../ SAFI SANA...
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Back
Top Bottom