Recent content by Pilato Msaidizi

  1. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Akitanua vita atajuta kuianziaha vita yenyewe,US na nchi za ulaya zinahitaji sana kuiangusha utawala wa Putin
  2. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran

    Yaani India ndio dhiruma kabisa ndo mchango Gani huo kama wa harusi tu huo
  3. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Lissu ilimpasa awaamini mawakili wenzake katika kumtetea kwani wenzie wangejua wapangane vipi na mashahidi au kama ni yy mwenywewe ilimpasa awe nje kwenye dhamana wasingekuwa anatofautiana sana
  4. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

    Mkiendelea kumchekea mtajikuta mtoni
  5. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Kila mtu ataenda na kile anachokiamini mradi tu kisimkere mwenzio
  6. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Crdb wamekataa kunibadilishia hela chakavu nielekezeni pa kwenda

    Hakunaga noti mbovu sema ni wahudumu tu na hila zao
  7. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Hata aje achezeshe rais WA FIFA hatuleti timu
  8. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

    Ningefurahi Kuona na sisi tz tunamiliki walau madude 5 kama haya
  9. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Dar, Arusha, Mwanza, Moro, & Dodoma, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?

    Nenda Morogoro tena kajaribu maisha mkula, MANG'ULA,kiberege ikishindwa hapo vika kamcheki baada ya kuimaliza ifakara maisha ni simple kabisa huko
  10. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Kwani wao Voda wanasemaje
  11. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wiki moja mita inaharibika,na tanesco wanakuja kubadirisha mita na unit wanabeba
  12. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wanapenda Madeni

    Uko sahihi kabisa tena hawajali kabisa,huku anadaiwa kule anaenda tena kukopa ni shida
  13. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Hapo sasa china aganye ushawishi na ulaya ianzishwe pesa nyingine kama ni euro kwa biashara ya kimataifa ili dollar iwekwe pembeni na tusifanye naye biashara ya aina yoyote magari atengeneze wauziane huko huko us,sisi wanyonge wote tutrade wenyewe,lazima aufyate trump
  14. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

    Oya mwana fanya hivi jiridhishe kwanza kama hiyo mimba Ina muda huo,Kisha fanya mahesabu tu ya mzunguko wake ulikoma lini, baada ya hapo jakiki mwisho wenu WA kikutana ilikuwa tarehe ngapi utapata jibu kama ni yako ama umevishwa
  15. Pilato Msaidizi

    JamiiForums Tanzania Bukavu: maandalizi ya kujihami yaendelea

    Hivi m23 imeshindikana kweli,jeshi la congo linafanya kazi gani kushindwa kukiondoa hicho kikundi
Back
Top Bottom