Fika kwenye Ofisi yoyote ya Bima ya Afya (NHIF) ilyo karibu nawe watakujuza utaratibu mzima. Kima cha kuchangia kwa mwanachama ambaye si mtumishi wa umma (mjasiliamali) ni Sh. 968,500/= kwa mwaka na watakaonufaika na matibabu ni wewe mchangiaji, mwenza wako (mkeo/mumeo) na watoto wenu wenye umri...
Ni sahihi kwa mawazo yako kutokana na umri uliokwa nao wakati huo na mengi unasimuliwa bila shaka na walioangalia upande mmoja wa shilingi. Sisi tuliouoa utawala wake ukiingia nakutoka tunaweza kuwa na maoni tofauti juu ya hilo. Kima cha chini cha mshahara kilipanda kila mwaka kwa miaka kumi...
Kwa kweli TFDA wameonyesha udhaifu wa hali ya juu kabisa kwani teku tukiumia afuta haya kwa zaidi ya miaka kumi sasa na kama ni madhara tayari tumeshayapata.
Nilihudhuria Mkutano moja wilayani Kisarawe Kata ya Mzenga, baada kuskia matangazo ya watu wa Bima ya Afya ya upimwaji wa Afya (kama miezi mtatu hivi iliyopita. Niliuliza swali kama hilo, na jibu nlilopewa ni kwamba Halmashauri yaWilaya intakiwa kuingia mikataba na hospitali binafsi zilizomo...
Masikini wewe, una mawazo ya kitumwa kabisa, waswahili wanasema msahau kwao ni mtumwa kumbe kweli. Basi wewe ukiona mzungu unadhani ni kila kitu, pole sana. Kwanza kajifunze uandishi ndipo ujitokeze kwa jamii au kuandika unachokiona kinafaa.
Kweli kujenga ili upangishe ni hasara ni sawa na kutupa pesa yako chooni ili uisahau. hebu chukua milioni arobaini gawanya kwa laki mbili, ina maana utaanza kubreak even mwaka wa 15 tangu ulipojenga, wakati huo ndani ya miaka hiyo umefanya ukarabati uliotokana na uhalibifu wa mpangaji mara tatu...
1. Mimi ni muumini wa serikali moja
2. Nilijiunga na JF kutokana na ubora wa mada mbalimbali ambazo ki msingi zimenifungua uelewa wangu kwa kiwango kuzuri tu, ingawa kuna wana JF wengine wanaitumia vibaya JF kwa kuposti mada zisizo na mashiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.