Wavutaji wa sigara ni shida!

Wavutaji wa sigara ni shida!

hakuna marafiki wa kweli kama wavuta sigara na walevi...heshima kwao
 
Nyie ni vile hamjui, sigara ni kampani moja kubwa, kwanza haisaliti, pili iko pale unapohitaji, tatu haina maringo! Hapo tu ndio inaponimaliza....bora fegi kuliko watu...
 
acha ku@chokonoa wenzio na jamaa wako chaUkucha....
 
Last edited by a moderator:
eti wanasema inaongeza damu , kuna mmoja nilijaribu kumuasa aiache , akanijibu kama sigara ina madhara mbona wodi nyigi zimejazwa na watu wenye magojwa mengine.
 
Vipi na sisi tunaobwia ugoro ni poa au tunawakera pia? Mbona nyie mnazini halafu mnaona poa tu? Pambaf zenu.
 
Tatizo wavuta fegi huwa wanafikiri watu wote tunafurahia fegi!! Unakuta anawasha fegi ndani ya duka alilonunua sigara bila kujaki kuna wateja wengine!!
 
Wavuta sigara na waheshimiwa wanywa pombe ndio wanaogoza nchi, siku wakigoma kwa mwezi mmoja tu sijui mtatutafutia wapi.
 
Tatizo wavuta fegi huwa wanafikiri watu wote tunafurahia fegi!! Unakuta anawasha fegi ndani ya duka alilonunua sigara bila kujaki kuna wateja wengine!![/QUOTE
kweli kabisa yaani wanawashia hapohapo dukani halafu wanapuliza moshi bila kujali. Wanakera sana.
 
Hivi kweli hawa wavutaji wa sigara kwa nini wanashindwa kuwa wastaarabu? Unakuta jamaa anavuta sigara hovyohovyo tu bila kujali kuwa wanaathiri wengine. Kiujumla wanakera sana. Serikali ipitishe sheria ya kuzuia tabia hii.
 
Why do they smoke publicly? Ni tabia mbaya sana hata hawana wazo la kufikiri kuwa kuna baadhi ambao hawatumii sigara ni kuvuta na kupuliza tu wakati hamna faida yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom