CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Nilivyoelewa mimi tatizo ni mashine zinazotumika kuchujia..na hili si tatizo la wajasiriamali bali ni tatizo la SIDO wanakopata mashine hizo
Hapana mkuu, wewe kama mjasiria mali unatakiwa kuhakikisha unanunua mashine zenye kukutengeneza product inayofikia viwango, ikishindwa kufikia viwango tatizo ni la kiwanda chako, siyo supplier aliyekuuzia kiwanda au kiwanda kilichotengeneza kiwanda, TFDA inakuangalia wewe! BTW, TFDA hawaelezi kiundani ndiyo maana hatuelewi, alizeti ni mbegu kama ufuta au karanga, inaweza hata kusagwa kienyeji na kutumika kama kiungo bila madhara, iweje mafuta yake yasipochujwa saaana yawe na madhara? Hilo swali wanatakiwa walijibu kitaalamu watu waelewe!